sijui kwa nini nahisi unatamani awe kama porn movies unazoangalia.
Chunga sana,
Hakuna anaeweza kuwa kama stories zote, au hata combination ya stori/movies mbili.
Huyo ni binadamu mmoja,
hawezi kubadilikika kuwa kila mtu, na akabaki kuwa yeye.
Ukichagua mtu mmoja, manake umechagua kuacha wengiiiiiiiiiiine wooooooote,
wanaoshindwa kuchagua mmoja, manajke wanashindwa kuridhika na mmoja, washindwa kujizuia kupata na style zingine wana jina lao, huwa wanaitwa malaya, au dada poa.
Japo there is room for improvement, lakini usiweke mategemeo makubwa sana.
chagua dada,
huyo mmoja mshamba au upate mastyle mengi toka kwa watu wengi
nakuhahikishia hata mkijaribu style zote kichwani mwako unazoziwaza, bado hatafanya jinsi unavyofikiria, hizo ni ndoto tu.
cha maana fanya umamuzi, kuvumilia kuwango kilichopo, au utafute watu mbali mbali wakuridhishe.
jua hata na wewe ni mmoja, tu, huwezi kuwa kila msichana aliwahi kumuona. lazima kuna vitu ameamua kuviacha vive fascination, ili awe na wewe tu. Au unadhani unampa kila kitu anachotamani kila wakati?