Shantel bwana, wewe kule unanicheka kuhusu mtu kulia kama mbuzi kumbe na wewe yamekukuta eeee, pole sana mamii , ila jifunze kuwa muwazi kwa mpenzi wako. mwambie unataka nini, kama aelewi mwekee movie kidogo jifanye embu leo tujaribu hivi. sikunyingine kama ukitoka kwenye kitchen party jifanye umesikia watu wanaongelea style fulani mjaribu. halafu then jifanye kusema kumbe kubadilibadili nasikia raha zaidi, ukimwambia hivo tu atabadilika, wanaume wako makini sana kuhakikisha wanawapa wapenzi wao mapenzi wanayosikia raha hasa wanapokusikia mwenyewe ukisema unahitaji nini.
Mimi namwambiaga tu wala sina aibu na anajua hilo.na mara nyingi anauliza nikufanyie nini leo mpenzi. Raha tupu