Habari wanajamvi. At my suprise nimejikuta natamani kampani ya member mmoja hapa.Naogopa kumchana live maana yawezekana akafikiria kuwa nataka kuvunja relationship yake(kama anayo). Ni mtu anayetoa hoja ambazo mara nyingi zimenivutia. Akiniruhusu kubadilishana naye mawazo ni bonge ya furaha kwangu. Nifanyeje?
wewe ni me/ke???angalia usije ukafa kwa kijiba cha roho..!!!Usione soo
Habari wanajamvi. At my suprise nimejikuta natamani kampani ya member mmoja hapa.Naogopa kumchana live maana yawezekana akafikiria kuwa nataka kuvunja relationship yake(kama anayo). Ni mtu anayetoa hoja ambazo mara nyingi zimenivutia. Akiniruhusu kubadilishana naye mawazo ni bonge ya furaha kwangu. Nifanyeje?
Ujue ni wewe eti...Endelea kaka, chelewa chelewa wajanja watakuwahi. Lol.
<br />Ujue ni wewe eti...
<br />Haina shida Husniyo mi siwezi force mambo, aftre all nipo mbali sana
Hahahaha! Una roho nzuri weye!!! Sa mtoa mada si aseme kama nimepatia kitendawili chake?..lol<br />
<br />
kama ni mimi nakubali haraka haraka. Sipendi binadamu ateseke kwa ajili yangu ati.