Natamani awe rafiki/mshauri wangu.

Natamani awe rafiki/mshauri wangu.

Salanga

JF-Expert Member
Joined
Nov 18, 2010
Posts
364
Reaction score
44
Habari wanajamvi. At my suprise nimejikuta natamani kampani ya member mmoja hapa.Naogopa kumchana live maana yawezekana akafikiria kuwa nataka kuvunja relationship yake(kama anayo). Ni mtu anayetoa hoja ambazo mara nyingi zimenivutia. Akiniruhusu kubadilishana naye mawazo ni bonge ya furaha kwangu. Nifanyeje?
 
wewe ni me/ke???angalia usije ukafa kwa kijiba cha roho..!!!Usione soo
 
Mimi sioni shida. Kama unataka ushauri wake si kuna PM? Sasa kama unataka mambo ya dinner hapo utakuwa na motive tofauti.
Mimi naamini uko preoccupied na huyu mtu, ndio maana wafuatilia sana posts zake. Wengine huwa tunasoma posts halafu tunarudi tunasoma jina la mwandishi, nina hofu kwako isije ikawa imefikia una search posts zake na kuanza kuzisoma.
 
Habari wanajamvi. At my suprise nimejikuta natamani kampani ya member mmoja hapa.Naogopa kumchana live maana yawezekana akafikiria kuwa nataka kuvunja relationship yake(kama anayo). Ni mtu anayetoa hoja ambazo mara nyingi zimenivutia. Akiniruhusu kubadilishana naye mawazo ni bonge ya furaha kwangu. Nifanyeje?

Mbona sasa unamwaga mtama hapa? chamsingi ongea nae PM sina shaka ukiingia kiungwana atakupokea si unampongeza tuu kwa kazi yake nzuri au kuna zaidi? usije ukaanza kumuelezea unagari ngapi kwako na zote zimesimama sababu ya mgomo wa mafuta na hujui ufanye nini.
 
Sasa kama hapa JF tu unaogopa wakati hamuonani mtaani inakuaje?!
 
Mi nakushauri umu PM ujaribu kumchunguza kwanza je ni she/he mana humu unakuta m2 ni kidume anatumia jina la kike au wakike ana2mia la kiume, na kingine usiumie roho km umempenda mwambie akikukatalia vumilia.
 
Kuwa mkweli leo ili usiadhirike kesho nikiwa na maana kwamba usiingie kwa urafiki wakubadilishana mawazo mwishowe ukataka na vingine kuwa mwazi kwakile unachotaka kwake
 
wewe ni me/ke???angalia usije ukafa kwa kijiba cha roho..!!!Usione soo

Si anapendezwa na hoja tu, au kuna vitu vingine anavyohitaji?
Am PM hata kama ni me ataendelea kupata ushauri na kufurahia.
 
usijali,ni kaupepo tu. humu jf zikianza thread za avatar ni mfululizo kama homa ya mafua. sasa zimeanza za kudondokea posts. u will get over it, kunywa maji ya kutosha na uongeze muda wa kulala na kufuatilia bunge. pole sana kaka

Habari wanajamvi. At my suprise nimejikuta natamani kampani ya member mmoja hapa.Naogopa kumchana live maana yawezekana akafikiria kuwa nataka kuvunja relationship yake(kama anayo). Ni mtu anayetoa hoja ambazo mara nyingi zimenivutia. Akiniruhusu kubadilishana naye mawazo ni bonge ya furaha kwangu. Nifanyeje?
 
Kama mnavyonishauri ,nitaangalia then nitachanganya na zangu,asanteni,lakini naona mhusika bado hajapitia hii thread nione maoni yake.namsubiria
 
Endelea kaka, chelewa chelewa wajanja watakuwahi. Lol.
 
Haina shida Husniyo mi siwezi force mambo, aftre all nipo mbali sana
 
<br />
<br />
kama ni mimi nakubali haraka haraka. Sipendi binadamu ateseke kwa ajili yangu ati.
Hahahaha! Una roho nzuri weye!!! Sa mtoa mada si aseme kama nimepatia kitendawili chake?..lol
 
Back
Top Bottom