Habari wanajamvi. At my suprise nimejikuta natamani kampani ya member mmoja hapa.Naogopa kumchana live maana yawezekana akafikiria kuwa nataka kuvunja relationship yake (kama anayo). Ni mtu anayetoa hoja ambazo mara nyingi zimenivutia. Akiniruhusu kubadilishana naye mawazo ni bonge ya furaha kwangu. Nifanyeje?
Hayo ndo mambo my wangu Husn wasitake kututengansha. Naona tuingie ndani tupange mambo yetu,lakini hapa jamvini tuwatafute wasimamizi ili tuhalalishe kabisaaaaaaaaaaaaaaa, Usijali kuhusu mwezi kwani tutasubiria mpaka ifungwe au?
Nilishamwambia lakini sijui ndo anafikiria maana hataki hata kunijibu chochote,yaani sasa ndo nimechanganyikiwa jumla natamani nisingesema.The truth shall set you free. Kama una kifua basi usiogope mkuu just toa lililoko moyoni mwako. Kukosa na kupata yote ni matokeo

mmmmhhhhhhhh!!!!!!!!!!!!!!!????????????????????????

hee! kwani si ulisema unataka kubadilishana naye mawazo? Kumbe ilikuwa ni gia tuu ili ajisogeze!!!!!!!! dah! haya mkuu kila la kheri. Husninyo my sister there is the man...lol
mmmmhhhhhhhh!!!!!!!!!!!!!!!????????????????????????
Nilishamwambia lakini sijui ndo anafikiria maana hataki hata kunijibu chochote,yaani sasa ndo nimechanganyikiwa jumla natamani nisingesema.

Niambie baby, vp wkend? Do you know that I just have one week to go?
Niambie baby, vp wkend? Do you know that I just have one week to go?

bby wkend imepooza! Upo mbali na upeo wa pua yangu. Sisikii hata harufu ya ile perfume yako. Come close swthrt.

Khaaaa!

Uporoto amechange ID?
Dah! kimewaka, huu mwaka wa nuksi kweli kwa uporoto, majuzi kadakwa kaiba kiroba cha viazi kariakoo, halaf leo mjomba salanga wa mkulanga anaondoka na Husninyo hazarani! Khaaa!

huyo ni member wa jf?

Dah! kimewaka, huu mwaka wa nuksi kweli kwa uporoto, majuzi kadakwa kaiba kiroba cha viazi kariakoo, halaf leo mjomba salanga wa mkulanga anaondoka na Husninyo hazarani! Khaaa!

hlf wewe! Salanga mtoto wa town sio mkulanga. Ntakuwa sikubadilishi nepi..

heheeh nikimwaga CV ya salanga hapa unaweza ukarudi kwa uporoto sekunde hii hii na salanga ukamuweka kwenye ignore list yako! Bisha!
Khaaa! bora yaishe! kibarua chenyewe sina , tusje tukalambana ndoa za mkeka alfajiri hii. Kwakweli Salanga ni kijana mmoja mahiri sana! akifa tutamkumbuka

shemeji ukinivunjia ndoa utanioa wewe ujue!

Khaaa! bora yaishe! kibarua chenyewe sina , tusje tukalambana ndoa za mkeka alfajiri hii. Kwakweli Salanga ni kijana mmoja mahiri sana! akifa tutamkumbuka