Natamani awe rafiki/mshauri wangu.

Natamani awe rafiki/mshauri wangu.

Habari wanajamvi. At my suprise nimejikuta natamani kampani ya member mmoja hapa.Naogopa kumchana live maana yawezekana akafikiria kuwa nataka kuvunja relationship yake (kama anayo). Ni mtu anayetoa hoja ambazo mara nyingi zimenivutia. Akiniruhusu kubadilishana naye mawazo ni bonge ya furaha kwangu. Nifanyeje?

Jifunze kufanya maamuzi magumu.

Hayo ndo mambo my wangu Husn wasitake kututengansha. Naona tuingie ndani tupange mambo yetu,lakini hapa jamvini tuwatafute wasimamizi ili tuhalalishe kabisaaaaaaaaaaaaaaa, Usijali kuhusu mwezi kwani tutasubiria mpaka ifungwe au?

hee! kwani si ulisema unataka kubadilishana naye mawazo? Kumbe ilikuwa ni gia tuu ili ajisogeze!!!!!!!! dah! haya mkuu kila la kheri. Husninyo my sister there is the man...lol

The truth shall set you free. Kama una kifua basi usiogope mkuu just toa lililoko moyoni mwako. Kukosa na kupata yote ni matokeo
Nilishamwambia lakini sijui ndo anafikiria maana hataki hata kunijibu chochote,yaani sasa ndo nimechanganyikiwa jumla natamani nisingesema.

hee! kwani si ulisema unataka kubadilishana naye mawazo? Kumbe ilikuwa ni gia tuu ili ajisogeze!!!!!!!! dah! haya mkuu kila la kheri. Husninyo my sister there is the man...lol

thanks kaka! Huyo ndo shemeji yako.
Salanga beeeeibeee!

Nilishamwambia lakini sijui ndo anafikiria maana hataki hata kunijibu chochote,yaani sasa ndo nimechanganyikiwa jumla natamani nisingesema.

Mambo mazuri hayataki haraka! Tuliza moyo shem, mdogo wangu Husn sifa zote akumwagia weye!

Niambie baby, vp wkend? Do you know that I just have one week to go?

bby wkend imepooza! Upo mbali na upeo wa pua yangu. Sisikii hata harufu ya ile perfume yako. Come close swthrt.

huyo ni member wa jf?
Dah! kimewaka, huu mwaka wa nuksi kweli kwa uporoto, majuzi kadakwa kaiba kiroba cha viazi kariakoo, halaf leo mjomba salanga wa mkulanga anaondoka na Husninyo hazarani! Khaaa!

Dah! kimewaka, huu mwaka wa nuksi kweli kwa uporoto, majuzi kadakwa kaiba kiroba cha viazi kariakoo, halaf leo mjomba salanga wa mkulanga anaondoka na Husninyo hazarani! Khaaa!

hlf wewe! Salanga mtoto wa town sio mkulanga. Ntakuwa sikubadilishi nepi..

hlf wewe! Salanga mtoto wa town sio mkulanga. Ntakuwa sikubadilishi nepi..

heheeh nikimwaga CV ya salanga hapa unaweza ukarudi kwa uporoto sekunde hii hii na salanga ukamuweka kwenye ignore list yako! Bisha!

shemeji ukinivunjia ndoa utanioa wewe ujue!
Khaaa! bora yaishe! kibarua chenyewe sina , tusje tukalambana ndoa za mkeka alfajiri hii. Kwakweli Salanga ni kijana mmoja mahiri sana! akifa tutamkumbuka

Khaaa! bora yaishe! kibarua chenyewe sina , tusje tukalambana ndoa za mkeka alfajiri hii. Kwakweli Salanga ni kijana mmoja mahiri sana! akifa tutamkumbuka

ujue hili lithread la akili sana yaani ni zaidi ya love connect. Hebu fanya mpango uprint ubaki na ukumbusho.mia

Back
Top Bottom