Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.

Sasa kama hapa JF tu unaogopa wakati hamuonani mtaani inakuaje?!

Una roho nzuri weye!!! Sa mtoa mada si aseme kama nimepatia kitendawili chake?..lol

Sweetlady umepatia,u have made my day,ckuwa na aibu wala nini lakini si unajua nataka sinema lifikie mahali pake ? Ni lazima pawepo na logic flani hv katika kufanya kila jambo.
hahahaha! Nina roho nzuri sana, kumtesa binadamu mwenzio kwa vitu ulivyopewa bure mungu hapendi ujue.
Mtoa mada anaona aibu bwana. Atakuwa anatype huku amefumba macho.
Usianze kumwambia habari za kukataa maana anaweza akaanza kufikiria kukataa,

Habari wanajamvi. At my suprise nimejikuta natamani kampani ya member mmoja hapa.Naogopa kumchana live maana yawezekana akafikiria kuwa nataka kuvunja relationship yake(kama anayo). Ni mtu anayetoa hoja ambazo mara nyingi zimenivutia. Akiniruhusu kubadilishana naye mawazo ni bonge ya furaha kwangu. Nifanyeje?

Ha ha ha Hus....umedondokewa.... Ha ha ha mpoze roho mwenzio

Ole wako ukatae ntakufata hadi kwenu nikupe adhabu ya kufuturu pipi kila siku mpaka mwezi mtukufu uishe!!
aniache mwezi mtukufu asije akanitoa uzu funga ikaharibika, lol.kadondokewa husninyo? hapana mwache mwezi uishe kwanza ndiyo umwambie.
Hahahaha!.. Ngastuka na machale kundesa!.. Husni hili zali na huu mwezi mi hapana kwa kweli, we malizana nae kijeshi ila chonde chonde kloro asijekushtukia manake atauwa mtu...lol..

hahahahaha! Utanifuturisha pipi na uji eeh?
Zali langu nimemwachia swtlady. Kizuri kula na nduguyo!
Piga makofi tafadhali...daaah kitendawili kilikuwa kigumu ati...ucjal husni atakupokea kwa mikono miwili na moyo mkunjufu!..Sweetlady umepatia,u have made my day,ckuwa na aibu wala nini lakini si unajua nataka sinema lifikie mahali pake ? Ni lazima pawepo na logic flani hv katika kufanya kila jambo.

Hahahaha!.. Ngastuka na machale kundesa!.. Husni hili zali na huu mwezi mi hapana kwa kweli, we malizana nae kijeshi ila chonde chonde kloro asijekushtukia manake atauwa mtu...lol..
Acha tu fuko liende! Mwezi mtukufu huu yakhe... Afu ujue kloro alinipa kazi ya kuwa body guard wako eeh?? Mi nakuangalia tu na huyo Salanga wako, !..

swtlady unapiga teke fuko la dhahabu.
Hlf ngoja nimwambie mme wangu salanga abadili ID kloro asije akamfyatulia risasi bure.