The Dictator
JF-Expert Member
- Jul 20, 2018
- 4,475
- 12,281
Urithi kutoka wapi? Kwenye hiyo (wetu) mnitoe. Mimi na ukoo wangu hatuhusiki.Muungano ni urithi wetu tuulinde
hata leo wajitenge wafanye yao tufanye yetuTurahisishe jambo hili kwa kufungua vifungo vya katiba yetu kandamizi. Hapa ndipo mnyororo na kufuli kuu lilipo.
Mengine yatafanyika tu taratibu kukamilisha ratiba. Najua kuna ugumu kwa baadhi ya vipengele. Ila tusiwe wapumbavu tunaoogopa kujaribu chochote chenye kutuletea maendeleo.
Nimemaliza.
Kutoka kwa babu yako nyerere na karumeUrithi kutoka wapi? Kwenye hiyo (wetu) mnitoe. Mimi na ukoo wangu hatuhusiki.
Kweli kabisahata leo wajitenge wafanye yao tufanye yetu
Kweli usimpe kichwa cha panzi mzinga wa konyagi.Kweli hata muda huu, waondoke wakaishi kwao kwa AMANI na UTULIVU!
Hatutawafuata wala nini, hata wakitaka wawe chini ya Oman au taifa la huko poa tu. Watajijuwa.
Wakwende kabisa kabisa kabisa!
...Turahisishe jambo hili kwa kufungua vifungo vya katiba yetu kandamizi. Hapa ndipo mnyororo na kufuli kuu lilipo.
Mengine yatafanyika tu taratibu kukamilisha ratiba. Najua kuna ugumu kwa baadhi ya vipengele. Ila tusiwe wapumbavu tunaoogopa kujaribu chochote chenye kutuletea maendeleo.
Nimemaliza.
Kagera waende wapi maana Uganda ni mavi uharo kama hapaTukimaliza turuhusu na mikoa ya Kaskazini waanzishe nao nchi yao wenyewe au wajiunge hata na Kenya.
Kwa kweliπππWapate huo uhuru hata leo ili na Tanganyika nayo ijikite sasa kwenye kuujenga uchumi wake unaotumika kuwalea watu wazima miaka na miaka.
Ikiwa hivyo, Madeni aliyokopa kwa wingi kuneemesha Zanzibar yasibambikwe kwa Tanganyika, yagawanyweNatamani baada ya rais Samia, Zanzibar ipate uhuru wake haraka sana
We ni kibwengo tuTurahisishe jambo hili kwa kufungua vifungo vya katiba yetu kandamizi. Hapa ndipo mnyororo na kufuli kuu lilipo.
Mengine yatafanyika tu taratibu kukamilisha ratiba. Najua kuna ugumu kwa baadhi ya vipengele. Ila tusiwe wapumbavu tunaoogopa kujaribu chochote chenye kutuletea maendeleo.
Nimemaliza.
I waarabu warudi ***** ***** zianje za utawala wa ki sultaniTurahisishe jambo hili kwa kufungua vifungo vya katiba yetu kandamizi. Hapa ndipo mnyororo na kufuli kuu lilipo.
Mengine yatafanyika tu taratibu kukamilisha ratiba. Najua kuna ugumu kwa baadhi ya vipengele. Ila tusiwe wapumbavu tunaoogopa kujaribu chochote chenye kutuletea maendeleo.
Nimemaliza.
ππWapate huo uhuru hata leo ili na Tanganyika nayo ijikite sasa kwenye kuujenga uchumi wake unaotumika kuwalea watu wazima miaka na miaka.