Hance Mtanashati
JF-Expert Member
- Sep 7, 2016
- 20,137
- 26,189
Duh [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Kwa hali ya saivii hata ukivunja Nazi njia panda watu wanaenda kukuna na kuungia mboga! [emoji23][emoji23][emoji23]
kivipi mkuu sijakuelewaRonaldo shughuli nyinginee mkuu
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]Rais wa kwanza duniani kuahidi wananchi wake maisha ya kishetani
Ha ha ha ha mi nina uhakika mzee wangu angekuwa rais maisha yenu yangekuwa mazuri sana tofauti na huyu anayekula pesa za wahanga bila hurumaNdiyo muone umuhimu wa kumchangua rais ambae ni bilioner kama Fisadi Lowasa!
Hauna akili hata kidogoKwa hiyo urais ni kutoa misaada kutoka hela zako za mfukoni,
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] tutaona mengii mpk miaka kumi iKateeHata Leo Messi na yeye amatoa Bill 12.9 kwa ajili ya hao wahanga so hawa jamaa wangetoa hizo hela kwenye maafa ya Kagera zote zingeenda kununulia Bombadier.