Natamani Christiano Ronaldo angekuwa rais wa Tanzania

Natamani Christiano Ronaldo angekuwa rais wa Tanzania

Hance Mtanashati

JF-Expert Member
Joined
Sep 7, 2016
Posts
20,137
Reaction score
26,189
Huyu jamaa angekuwa rais wa Tanzania nafikiri mambo mengi yangekuwa mazuri.

We vuta picha ametoa bil 9 na ushee kama rambi rambi kutoka mfukoni kwake sasa sidhani angekuwa rais wa Tanzania kama angeshindwa kumudu vitu vidogo kama vile mikopo kwa wanachuo.

Vile vile tungeepuka aibu ya mkuu wa nchi kushutumiwa kula pesa ya maafa kama vile mtu fulani alivyokula pesa ya watu wa Kagera.
 
Unaonekana unisoma namba kijamilifu, mimi nmeisoma namba now nmefika nomba ya 97889897000073773.
Je ww umefika no ya ngapi?
 
Bora hizo bilioni 9 ziboreshe miundo mbinu ya timu ya CHAPECOENSE
 
Hivi Ronaldo yupi anaongelewa hapa, huyu huyu wa huku kwetu Kurasini Shimo la Udongo.
 
Ndiyo muone umuhimu wa kumchangua rais ambae ni bilioner kama Fisadi Lowasa!
Ha ha ha ha mi nina uhakika mzee wangu angekuwa rais maisha yenu yangekuwa mazuri sana tofauti na huyu anayekula pesa za wahanga bila huruma
 
Hata Leo Messi na yeye amatoa Bill 12.9 kwa ajili ya hao wahanga so hawa jamaa wangetoa hizo hela kwenye maafa ya Kagera zote zingeenda kununulia Bombadier.
 
Hata Leo Messi na yeye amatoa Bill 12.9 kwa ajili ya hao wahanga so hawa jamaa wangetoa hizo hela kwenye maafa ya Kagera zote zingeenda kununulia Bombadier.
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] tutaona mengii mpk miaka kumi iKatee
 
Back
Top Bottom