Natamani diamond platinumz Siku moja afanye show kubwa ya kimataifa pale Madison Square garden

Kaka tuletee story za majasusi ,kuna jasusi mmoja wa Burundi eti alifia jikoni wakati anajaribu kudokoa mboga ya bosi wake ,ukitupa hiyo stori nitafurahi .

Hao jamaa kuwatetea kwasasa ni ngumu japo kosa Lao silioni maana njaa haina mwenyewe
 
Ombea kuhusu Maisha yako yaende vizuri
Kuliko kuombea kitu kingine kisichokuwa cha msingi
 
Kaka tuletee story za majasusi ,kuna jasusi mmoja wa Burundi eti alifia jikoni wakati anajaribu kudokoa mboga ya bosi wake ,ukitupa hiyo stori nitafurahi .

Hao jamaa kuwatetea kwasasa ni ngumu japo kosa Lao silioni maana njaa haina mwenyewe
Kuna viporo vya kumalizia... Ngoja nivikamilishe kama viwili hivi.
 
Belle 9, Barnaba hawa nadhani wanavutia kuwasikiliza wakiimba live. Hawa wengine sijui simba, tembo,chui ni takataka.
 
Belle 9, Barnaba hawa nadhani wanavutia kuwasikiliza wakiimba live. Hawa wengine sijui simba, tembo,chui ni takataka.
Nlichojifunza .. pia muziki wa live unapendwa sana.. imagine msanii anaperfork kwenye ukumbi wa live halafu audience wanaimba pamoja na wewe zile lyrics.. 👊👊.. kuna muda nawaonea wivu wale walioishi ile golden era ya muziki kuanzia 1980-1990s. Hakika wali enjoy sana ladha halisi ya mziki wa live... Mara nyingi huwa naishia kutazama zile live concert YouTube za miaka ile
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…