Intelligent businessman
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 46,398
- 102,530
Muulizie bhana, maisha mafupi haya.Nadhani yuko salama maana nina muda kiasi sijaulizia hali yake
Muulizie bhana, maisha mafupi haya.Nadhani yuko salama maana nina muda kiasi sijaulizia hali yake
Mzee yupi rais au mwandambo?Vipi mzee wetu ana endeleaje?
Mzee wao ni wao wa jf, dingi la town.Mzee yupi rais au mwandambo?
Au wasira kale kadingi ka mboga waulize gen z wa MARA!
Sawa kaka nitashukuru .Kuna viporo vya kumalizia... Ngoja nivikamilishe kama viwili hivi.