Natamani Dully Sykes aingie ndani ya Afrimma2017

Natamani Dully Sykes aingie ndani ya Afrimma2017

Mwacheni Dullly nyie...Legend.
katurusha sana na mwanasesere style yake kipindi hicho.
na bado yuko mukide kabisa.
Mkuu sijakataa km jamaa Ni legend na wala sijamfananisha

Nilichomaanisha n pale Afrimma watakapom categorize dully km the best new comer tuzo ambayo kwa mwaka huu imeenda kwa mtoto WA diamond
 
ebu watake radhi hao malegend
ivi unathubutuje kumtaja harmonize na msanii km T.I.D sehemu moja au dully atlist ungesema ata kina barnaba
Mungu anakuona ujue
Aisee hii Ni hatari sasa..
Nilichomaanisha Ni pale Afrimma watakapomuweka Dully au Tid mnyama(sababu afrimma awawajui awa jamaa km n legends) kwny kipengere alichoshnda mtoto WA diamond.
 
Karibu Wakongwe wengi zamani hawakubase kwenye soko la kimataifa na bado wanafanya vizuri.
*juma nature
*profesa jay
*fid q
*mr blue
*shaa
*sugu
*TID
*Dully sykes nk
Fursa za kufanya vizuri na kupata tunzo za kimataifa kwa wakongwe na wapya bado zipo, waongeze juhudi tu katika kazi zao
 
Labda amkuelewa point yng,Ni hivi Dully Sykes hajawai ingia kwenye tuzo hizo kwa maisha yke yote ya mzk.Lakn uyo dogo WA diamond kaingia na kafanikiwa kuchukua tuzo

Sasa najenga picha pale Afrimma watakapomuweka Dully (Naimani hawamjuikm n legends) kwny kipengere hicho alchoshnda dogo WA diamond.

Ndio ilikuwa hoja yng kuu
Apa mekuelewa mkuu
aa
 
Karibu Wakongwe wengi zamani hawakubase kwenye soko la kimataifa na bado wanafanya vizuri.
*juma nature
*profesa jay
*fid q
*mr blue
*shaa
*sugu
*TID
*Dully sykes nk
Fursa za kufanya vizuri na kupata tunzo za kimataifa kwa wakongwe na wapya bado zipo, waongeze juhudi tu katika kazi zao
Yesss yesss mkuu.Wakomae Tu,watanzania tutapiga kuraaa
 
Watake radhi hao. Wao walifanya mziki tu bila kuangalia soko la kimataifa lakini haikumaanisha hawakufanya mziki mzuri, tena kama TID mtoe hapo.
lakini pia sidhani kama yupo/alikuwepo/atakuwepo msanii ambaye atakuwa on top miaka yote labda uhai wake ukatike ghafla (mfano Michael Jackson).
 
Yesss yesss mkuu.Wakomae Tu,watanzania tutapiga kuraaa
Mfano mzuri wakongwe wanaokomaa katika kazi soko la kimataifa kwa sasa
*Joh makini
*Fid q
*Ay na Fa
*Chegge nk
Ukongwe sio sababu ya kufeli katika soko la mziki wa sasa bali kuongeza juhudi na ubunifu
 
Mfano mzuri wakongwe wanaokomaa katika kazi soko la kimataifa kwa sasa
*Joh makini
*Fid q
*Ay na Fa
*Chegge nk
Ukongwe sio sababu ya kufeli katika soko la mziki wa sasa bali kuongeza juhudi na ubunifu
Mkuu unamsahau Sana Alikiba ..uyu jamaa Ni legend pia
 
Watake radhi hao. Wao walifanya mziki tu bila kuangalia soko la kimataifa lakini haikumaanisha hawakufanya mziki mzuri, tena kama TID mtoe hapo.
lakini pia sidhani kama yupo/alikuwepo/atakuwepo msanii ambaye atakuwa on top miaka yote labda uhai wake ukatike ghafla (mfano Michael Jackson).
Nani alosema hawakufanya ngoma kali? Nan alowakosea ? Nani alotia shaka juu ya uwezo wao kwny industry?

Mbna nilichoandka kinaeleweka jamani,em pitia comennts may be utaelewa nilichomaanisha
 
Back
Top Bottom