Msukuma wa dar
JF-Expert Member
- Jul 14, 2016
- 1,160
- 1,195
- Thread starter
-
- #21
Mkuu sijakataa km jamaa Ni legend na wala sijamfananishaMwacheni Dullly nyie...Legend.
katurusha sana na mwanasesere style yake kipindi hicho.
na bado yuko mukide kabisa.
Aisee hii Ni hatari sasa..ebu watake radhi hao malegend
ivi unathubutuje kumtaja harmonize na msanii km T.I.D sehemu moja au dully atlist ungesema ata kina barnaba
Mungu anakuona ujue
Yessss yessss mkuu..ndio nilichomaanishaKama chipukizi au sio?
That is a joke mkuu...na matusi pia.Yessss yessss mkuu..ndio nilichomaanisha
Apa mekuelewa mkuuLabda amkuelewa point yng,Ni hivi Dully Sykes hajawai ingia kwenye tuzo hizo kwa maisha yke yote ya mzk.Lakn uyo dogo WA diamond kaingia na kafanikiwa kuchukua tuzo
Sasa najenga picha pale Afrimma watakapomuweka Dully (Naimani hawamjuikm n legends) kwny kipengere hicho alchoshnda dogo WA diamond.
Ndio ilikuwa hoja yng kuu
Yesss yesss mkuu.Wakomae Tu,watanzania tutapiga kuraaaKaribu Wakongwe wengi zamani hawakubase kwenye soko la kimataifa na bado wanafanya vizuri.
*juma nature
*profesa jay
*fid q
*mr blue
*shaa
*sugu
*TID
*Dully sykes nk
Fursa za kufanya vizuri na kupata tunzo za kimataifa kwa wakongwe na wapya bado zipo, waongeze juhudi tu katika kazi zao
HahahahThat is a joke mkuu...na matusi pia.
Mfano mzuri wakongwe wanaokomaa katika kazi soko la kimataifa kwa sasaYesss yesss mkuu.Wakomae Tu,watanzania tutapiga kuraaa
Mkuu unamsahau Sana Alikiba ..uyu jamaa Ni legend piaMfano mzuri wakongwe wanaokomaa katika kazi soko la kimataifa kwa sasa
*Joh makini
*Fid q
*Ay na Fa
*Chegge nk
Ukongwe sio sababu ya kufeli katika soko la mziki wa sasa bali kuongeza juhudi na ubunifu
Watamkosea Afrimma km watamuweka Kwny kipengere cha chipukz Ndio nilichomaanisha mkuuUmemkosea sana dully asee
Nani alosema hawakufanya ngoma kali? Nan alowakosea ? Nani alotia shaka juu ya uwezo wao kwny industry?Watake radhi hao. Wao walifanya mziki tu bila kuangalia soko la kimataifa lakini haikumaanisha hawakufanya mziki mzuri, tena kama TID mtoe hapo.
lakini pia sidhani kama yupo/alikuwepo/atakuwepo msanii ambaye atakuwa on top miaka yote labda uhai wake ukatike ghafla (mfano Michael Jackson).