ommytk
JF-Expert Member
- Jul 30, 2015
- 520
- 1,143
Sina hakika kama tunaweza kugombea tena hii nafasi ya WHO aliyopata mpendwa wetu marehemu Dr. Ndugulile na kama tunatuhusiwa kugombea tena kuna huyu Dr Peter kisenge wa pale Jakaya Kikwete.
Natamani hii nafasi aombe naamini atapata huyu mtu ni mtu sana kwa sasa hapa Tanzania katika Madaktari wetu tulio nao
Natamani hii nafasi aombe naamini atapata huyu mtu ni mtu sana kwa sasa hapa Tanzania katika Madaktari wetu tulio nao