Yupo Professor Abel MakubiSina hakika kama tunaweza kugombea tena hii nafasi ya WHO aliyopata mpendwa wetu marehemu Dr. Ndugulile na kama tunatuhusiwa kugombea tena kuna huyu Dr Peter kisenge wa pale jakaya kikwete natamani hii nafasi aombe naamini atapata huyu mtu ni mtu sana kwa sasa hapa Tanzania katika madaktari wetu tulio nao
Unaleta usengeSina hakika kama tunaweza kugombea tena hii nafasi ya WHO aliyopata mpendwa wetu marehemu Dr. Ndugulile na kama tunatuhusiwa kugombea tena kuna huyu Dr Peter kisenge wa pale jakaya kikwete natamani hii nafasi aombe naamini atapata huyu mtu ni mtu sana kwa sasa hapa Tanzania katika madaktari wetu tulio nao
Aliyekuwa anasema hakuna corona?Yupo Professor Abel Makubi
Very well organised Man in medical industry
However najua hawawaezi kumpa.maana ni Chato moja hiyo
Hawezi hiyo kazi....Sina hakika kama tunaweza kugombea tena hii nafasi ya WHO aliyopata mpendwa wetu marehemu Dr. Ndugulile na kama tunatuhusiwa kugombea tena kuna huyu Dr Peter kisenge wa pale jakaya kikwete natamani hii nafasi aombe naamini atapata huyu mtu ni mtu sana kwa sasa hapa Tanzania katika madaktari wetu tulio nao
Lazima aweze kuongea na kuandoka kifaransa!Yupo Professor Abel Makubi
Very well organised Man in medical industry
However najua hawawaezi kumpa.maana ni Chato moja hiyo