Kuna kaka anatafuta mchumba wa kike jaman umri kuanzia 30-35 umri wake ni miaka 45 naiman kuubwa humu jf atapata. Hakuna utani hapa namba yake. 0753655444.
Anatafuta kaz ni mdada ana miaka 22 namba ya cm hii. 0758991110.
Mpaka hapo Mungu atakupa msaada wa kutoka fanyia kazi ushauri uliopewa na wadau,utavuka.si hali ya kawaida mwanadada kuwatamani wadada wenzake au mwanaume kwa wanaume wenzake,huyo ni ibilisi ila utashinda.Zingatia ushauri wa gfsonwin na umaanishe utavuka.Nawashukuru sana gfsonwin, len wilguy pamoja na wna jf wote mliotumia muda wenu kunipa ushauri ahsanten mungu azdi kuwazidishia hekima. Japo wengine wanafanya utani. Jaman ckupenda kufanya tabia hzi lakin nilijikuta katika maisha haya ambayo mwanzon niliona ni sawa na niliyafurahia lakin sasa imeniletea shida kubwa ktk maisha yangu kwan watu wakaribu yangu ikiwemo familia wananisema hata akija mgeni wa kike nyumban hawaniruhusu hatakuongea nikiwa nimekaa naye peke yangu. Inaniumiza sana.
Pole sana na tatizo hili ila nimefurahi kusikia kuwa unatafuta msaada ili uachane na tabia hiyo mbaya sana.
Ni muhimu sana kufahamu kuwa usagaji ni dhambi, na dhambi ni utumwa (Yoh. 8: 34 - [FONT=Lucida Sans Unicode, MS Arial Unicode, Comic Sans MS, Verdana, Arial, Helvetica]kila atendaye dhambi ni mtumwa wa dhambi). Wewe mwenyewe kwa kuwa ni mtumwa huwezi ukajitoa kwenye utumwa huo. Ni Yesu Kristo pekee mwenye uwezo wa kukutoa katika utumwa wa dhambi zote (Yoh. 8: 36 - ... basi mwana akiwaweka huru mtakuwa huru kweli kweli).
Unachotakiwa kufanya sasa kutubu dhambi zako zote ikiwa ni pamoja na usagaji kwa kumaanisha kuziacha kabisa, sio uache usagaji uanze uasherati na uzinzi na wanaume, hapana (Mithali 28: 13 - Afichaye dhambi zake hatafanikiwa bali aziungamaye na kuziacha atapata rehema). Kisha mwambie Bwana Yesu akuwezeshe kuzishinda dhambi hizo, yeye ni mwema na mwaminifu sana atafanya. Mfano wa sala ya toba ni huu hapa:
"Mungu wangu, nakuja mbele, najua kuwa mimi ni mwenye dhambi. Natubu zangu zote kwa kumaanisha kuziacha kabisa. Sitaki dhambi kuanzia leo. Naomba unisamehe. Naomba ulifute jina langu kwenye kitabu cha hukumu na uliandike kwenye kitabu cha uzima. Naomba unipe uwezo wa kushinda dhambi ya usagaji na dhambi nyingine zote ili niishi maisha yanayokupendeza wewe kuanzia leo. Asante Bwana kwa kuwa umenisamehe na kuniokoa, katika jina la Yesu, Amen".
Ukisali sala kama hii kwa kumaanisha utaokoka na kupewa uwezo wa Kushinda usagaji na dhambi zote (Yoh. 1:12 - Bali wote waliompokea aliwapa uwezo kwa kufanyika watoto wa Mungu ...".
Kisha tafuta kanisa wanalohubiri wokovu na uwezo wa kushinda dhambi, epukana na mahali ambapo dhambi haikemewi kwa wazi wazi na wasioamini habari ya uwezo wa kushinda dhambi. Kumbuka Zab. 16: 3 - [/FONT]Watakatifu waliopo duniani ndio Walio bora,Hao ndio niliopendezwa nao. Mungu anapendezwa na watakatifu walioko duniani.
Kwa ushauri zaidi unaweza kuni-pm
Pole sana....sali sana na muombe Mungu akusaidie ili uachane na tabia hii.
Sasa hapa kisali inahusiana nn mbona unachanganya mambo,ama ndo nyie kwamba kila kitu mipango ya mungu?.kwa hiyo hata hiyo tabia/hali y ulesbian n mungu kapanga ?.Nachukia sana mawazo butu
By...Free ideas..
Nimekuwa nafanya mapenz na wanawake wenzanga huu ni mwaka wa nne mwanzon niliona ni sawa ila sasa naichukia najitahid kuacha lakn nimeshindwa imefikia hatua nataman hata kufanya na dada yangu wa kuzaliwa naye. Kila nikiona wanawake wenzngu nataman kufanya nao. Sitaman mwanaume kabisa naona hawana maana kwangu kbisa tena huwa naona wananisumbua naumia nataka kuacha hii tabia nifanyeje nisaidien nataman kuwa kama wadada wenzangu.Nakushauri ujikatili mwenyewe,namaanisha ujilazimishe kutoa mbunye kwa wanaume mara kwa mara ili ujizoeze
Umeona huo ndio ushauri wa maana!!!!! Maalun mkubwa we.