Natamani kubadilisha gari

Natamani kubadilisha gari

Haraka ya nini? Itakucost milioni kadhaa.

Agiza hiyo gari Japan, wakati unasubiri invoice ya TRA uza Cami ili uongezee cash ulipe ushuru upande kwenye ndinga mpya mkuu.
Isipouzika ndani ya hizo siku 30 utahusika na wharfage charges mzee baba au umeongea kwa sababu mdomo hulipii ushuru 🤣🤣🤣
 
Back
Top Bottom