Teh sorry sista, nilidhani namjibu Atoto ujue
Sijui hata alienda wapi wa kishua yuleHivi yule mdada alipotelea wapi sijui, Hahaaa kuna watu na viatu kwa kweli
Haha kwa kweli tulijionea miguuHahaaa hadi umenikumbusha ule uzi wa miguu ya wanaume wa JF, siku ileeee
Ameeen. Nimechoka kutembelea miguu jamani khaa; miguu hadi imezoea zebra crossingHahaa kwa kweli, hata hivo tunakuombea uwe nalo one day[emoji12] [emoji12]
😁😁😁😁Ameeen. Nimechoka kutembelea miguu jamani khaa; miguu hadi imezoea zebra crossing
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Unenifurahisha sanaMpendwa usinicheke
Isipouzika ndani ya hizo siku 30 utahusika na wharfage charges mzee baba au umeongea kwa sababu mdomo hulipii ushuru 🤣🤣🤣Haraka ya nini? Itakucost milioni kadhaa.
Agiza hiyo gari Japan, wakati unasubiri invoice ya TRA uza Cami ili uongezee cash ulipe ushuru upande kwenye ndinga mpya mkuu.
Hahaha mdomo haulipii VAT 🤣🤣🤣Isipouzika ndani ya hizo siku 30 utahusika na wharfage charges mzee baba au umeongea kwa sababu mdomo hulipii ushuru 🤣🤣🤣
Sawa sawa mzee baba 🤣🤣🤣Hahaha mdomo haulipii VAT 🤣🤣🤣
No. usiagize gari kabla hujauza hiyo. Utakumbuka ushauri wanguGood idea
Haha haya mkuuUnenifurahisha sana