Natamani kubeba mimba niwe mwanaume wa kwanza Afrika

Natamani kubeba mimba niwe mwanaume wa kwanza Afrika

Kwenye hiyo avatar yako naona kundi la "Jackson 5" kundi ambalo linamhusisha Michael ambaye huwenda alikuwa kipenzi chako.

Ila Michael baadae alikuja kufanya marekebisho kadhaa kwenye mwili wake ambayo yalimpa Muonekano wa tofauti (Nadhani ni Role Model wako)

Ulivyosema unatamani kubeba mimba nimetazama kwa jicho la mbali AVATAR yako na kujua ulivyo katika uhalisia wako.

Kwani nikisema "Wewe ni Shoga Utaumia"?
 
na swaumu yote hii mkuu unawaza kuliwa kiboga na wanaume wenzako....daahh
yaani unawaonea gere wanavyofanywa wanawake....😎😎
 
Da! Kwa hali hii kweli serikali ya viwanda inawezekanaje?.maana mtu kama uyu hata kubeba box awezi
 
Aaahhh embu subiri kwanza , Yaan haya maandishi umeyanukuu sehemu, au ni maneno yanayotoka moyoni mwako na ukiwa na Akili ?au ni akili za asubuh kwa Tanzania ,na Akili za masaa ya Usiku nchi za watu?.

"Mwanamke Utazaa kwa Uchungu , Mwanamme utakula kwa jasho lako". Nadhan ungeendelea kupigana ktk jukumu lako hili , nasio kuingilia majukumu ya viumbe wengine .

Kama wanamme tena wakiafrika, tumeanza kua na mawazo haya , basi Yesu yu Karibu karudi.
Haswaa mkuu kwa hali hii Yesu anakaribia kurudi maana maandiko yalishatabili mambo haya,mh!tuombee vizazi vyetu kwakweli zaidi Tuombe mwisho mwema.
 
duuuuuh na nani akupe hiyo mimba maana fedhea utabeba na huyo pimbi mwenzio, aki ni ajabu
 
Aaahhh embu subiri kwanza , Yaan haya maandishi umeyanukuu sehemu, au ni maneno yanayotoka moyoni mwako na ukiwa na Akili ?au ni akili za asubuh kwa Tanzania ,na Akili za masaa ya Usiku nchi za watu?.

"Mwanamke Utazaa kwa Uchungu , Mwanamme utakula kwa jasho lako". Nadhan ungeendelea kupigana ktk jukumu lako hili , nasio kuingilia majukumu ya viumbe wengine .

Kama wanamme tena wakiafrika, tumeanza kua na mawazo haya , basi Yesu yu Karibu karudi.
kumbe ni wanaume wa ulaya tu ndo wanafikilia hivyo
 
NImetoke kuvutiwa sana na ubebaji wa mimba kwa wanawake natamani vile vitumbo vinapo tangulia mbele najisikia furaha sana.

pia sichoki kuwaangalia wanawake wajawazito bilashaka wananipa furaha moyoni na machoni, nimefikia hatua nami kutaman nibebe mimba kama wao. moyo unanisukuma kufanya hivyo ili pia nivunje rekodi ya africa, nabado napambana ili siku moja nilete kiumbe duniani.
I am trying to think of this from a scientific/psychological point of view.
This must be a new kind of paraphilia
 
We are living in an open world. There is a freedom of speech and, clearly, freedom of speculation.
 
Back
Top Bottom