Mbao za Mawe
JF-Expert Member
- May 11, 2015
- 23,372
- 54,943
Haswaa mkuu kwa hali hii Yesu anakaribia kurudi maana maandiko yalishatabili mambo haya,mh!tuombee vizazi vyetu kwakweli zaidi Tuombe mwisho mwema.Aaahhh embu subiri kwanza , Yaan haya maandishi umeyanukuu sehemu, au ni maneno yanayotoka moyoni mwako na ukiwa na Akili ?au ni akili za asubuh kwa Tanzania ,na Akili za masaa ya Usiku nchi za watu?.
"Mwanamke Utazaa kwa Uchungu , Mwanamme utakula kwa jasho lako". Nadhan ungeendelea kupigana ktk jukumu lako hili , nasio kuingilia majukumu ya viumbe wengine .
Kama wanamme tena wakiafrika, tumeanza kua na mawazo haya , basi Yesu yu Karibu karudi.
kumbe ni wanaume wa ulaya tu ndo wanafikilia hivyoAaahhh embu subiri kwanza , Yaan haya maandishi umeyanukuu sehemu, au ni maneno yanayotoka moyoni mwako na ukiwa na Akili ?au ni akili za asubuh kwa Tanzania ,na Akili za masaa ya Usiku nchi za watu?.
"Mwanamke Utazaa kwa Uchungu , Mwanamme utakula kwa jasho lako". Nadhan ungeendelea kupigana ktk jukumu lako hili , nasio kuingilia majukumu ya viumbe wengine .
Kama wanamme tena wakiafrika, tumeanza kua na mawazo haya , basi Yesu yu Karibu karudi.
I am trying to think of this from a scientific/psychological point of view.NImetoke kuvutiwa sana na ubebaji wa mimba kwa wanawake natamani vile vitumbo vinapo tangulia mbele najisikia furaha sana.
pia sichoki kuwaangalia wanawake wajawazito bilashaka wananipa furaha moyoni na machoni, nimefikia hatua nami kutaman nibebe mimba kama wao. moyo unanisukuma kufanya hivyo ili pia nivunje rekodi ya africa, nabado napambana ili siku moja nilete kiumbe duniani.
Kila la heri mkuu usisahau ukishabeba mimba uturushie mapicha picha tukuone