Natamani kufahamia na watu wengi zaidi

Natamani kufahamia na watu wengi zaidi

Mgeni kawaida kaa kimya kama sio mkimyaaa igiza kwa muda uangalie taratibu za watu wanavyoishi then na wewe uishi hivyo.

Ila wewe umeanza kuniogopesha
 
Unakimbilia wapi, tulia humu kila mtu kaja na mwenzie we wako umemwacha wapi
 
Humu kuna madada wao hawatoboi macho kama Scorpion, wao wanatoboa Wallet.....
 
We ni kati ya wale wageni wanao ongeza maji kwenye safuria ya ugali.
 
KARIBU umu watu utawakuta na viatu pia vipo tena viatu vinavyonuka uvundo wa kuvaliwa mwezi bila kuvuliwa...hivyo kuwa makini sana...na wengi huwa wanaingia lakini huwa wanaondoka bila kuaga sasa sijui wamekutana na viatu...
 
Nenda Facebook ndio wengi wanafahamiana...Huku ni nondo zako na pumba zako ndio zitakufanya ujulikane.
 
Naitwa Daimond Platnumz, Mengi ni mjomba angu na Baharesa ni baba angu. Millard ayo si unamjua? basi yule ni mtangazaji wetu katika ile redio yetu.
 
Back
Top Bottom