genius kipanga
Member
- Nov 30, 2022
- 27
- 18
Salaam watalaam
Kijana nimekuja kwenu kuomba msaada wa mawazo..
Nimeajiriwa sehem lakini sibanwi sana kazini kiasi kwamba nina muda mwingi wa ziada..
Natamani kufanya kazi yeyote ya part time ili niweze kuongeza kipato kwani hakinikidhi mahitaji
Swali, je nifanye SHUGHURI ipi aambayo haitoweza nilia muda wangu mwingi..
Ujuzi nilionao naweza tumia computer vizuri na ninayo pia.
Asanteni