Natamani kufuga kobe na tausi nitawapata wapi naombeni mwongozo.

ndege JOHN

JF-Expert Member
Joined
Aug 5, 2015
Posts
21,643
Reaction score
51,642
Nataka niweke hao wanyama nyumbani kwangu kuna mtu akaniambia tausi wapo ikulu na labda wanaopewa ni viongozi wakiomba.Nani anajua wapi nitawapa tausi kuhusu kobe nashangaa wameadimika sana mashambani ila nina imani nikitoa offer atafutwe lazima atapatikana.tausi nampataje na bei zake zipoje wakuu.
 
Niliwahi kukuta tausi wengi wamefugwa pale Saa 8 Island Mwanza. Sijui bado wapo!? Kobe pia unapata hapo. Ninaamini, kama kuna vibali vya uwindaji wa Simba, swala n.k., hata hao utaweza kuwapata. Ila utaratibu wa kumiliki wanyama pori itakubidi ukajiridhishe kwenye ofisi zao. Usifuge nyara za taifa kienyeji, utaozea jela.
 
Nataka niweke hao wanyama nyumbani kwangu kuna mtu akaniambia tausi wapo ikulu na labda wanaopewa ni viongozi wakiomba.Nani anajua wapi nitawapa tausi kuhusu kobe nashangaa wameadimika sana mashambani ila nina imani nikitoa offer atafutwe lazima atapatikana.tausi nampataje na bei zake zipoje wakuu.
Utavifatilia na huenda ukavipata kihalali kabisa hivyo vitu. Ila siku utakayozingua tu, wanavitumia hivyo hivyo kukuweka ndani.

Fuga bata tu wanatosha mkuu
 
Makobe mbona yapo tu mkuu?
Tausi kidogo ndiyo kipengele, ila makobe yapo tu nayaona sana shamba
 
Nataka niweke hao wanyama nyumbani kwangu kuna mtu akaniambia tausi wapo ikulu na labda wanaopewa ni viongozi wakiomba.Nani anajua wapi nitawapa tausi kuhusu kobe nashangaa wameadimika sana mashambani ila nina imani nikitoa offer atafutwe lazima atapatikana.tausi nampataje na bei zake zipoje wakuu.
Kobe wapo Rorya sana. Tausi njoo nkuuzie Mayai
 
Back
Top Bottom