Natamani kufuga kobe na tausi nitawapata wapi naombeni mwongozo.

ndege JOHN

JF-Expert Member
Joined
Aug 5, 2015
Posts
21,643
Reaction score
51,642
Nataka niweke hao wanyama nyumbani kwangu kuna mtu akaniambia tausi wapo ikulu na labda wanaopewa ni viongozi wakiomba.Nani anajua wapi nitawapata tausi kuhusu kobe nashangaa wameadimika sana mashambani ila nina imani nikitoa offer atafutwe lazima atapatikana.tausi nampataje na bei zake zipoje wakuu.
 
Tausi wapo wengi. Hata Butiama kijijini wapo.
Isipokuwa wakati mwingine wanaitwa " tunu ya Taifa."
 
Nataka niweke hao wanyama nyumbani kwangu kuna mtu akaniambia tausi wapo ikulu na labda wanaopewa ni viongozi wakiomba.Nani anajua wapi nitawapata tausi kuhusu kobe nashangaa wameadimika sana mashambani ila nina imani nikitoa offer atafutwe lazima atapatikana.tausi nampataje na bei zake zipoje wakuu.
Hizo ni nyala za serikali fuata utaratibu wa kufanya hivyo toka serikalini
 
Nataka niweke hao wanyama nyumbani kwangu kuna mtu akaniambia tausi wapo ikulu na labda wanaopewa ni viongozi wakiomba.Nani anajua wapi nitawapata tausi kuhusu kobe nashangaa wameadimika sana mashambani ila nina imani nikitoa offer atafutwe lazima atapatikana.tausi nampataje na bei zake zipoje wakuu.
Unataka tuuu tulopokeee, hao wote mali ya serikali, nenda wizara ya maliasili ukawaeleze watakupa utaratibu
 
Tausi ikulu na kobe ukiwatuma wachungaji wanakuletea fasta
Ila maliasili lazima upate kibali na watakushauri uwe na pair
 
Back
Top Bottom