ndege JOHN
JF-Expert Member
- Aug 5, 2015
- 21,643
- 51,642
Tausi wapo wengi. Hata Butiama kijijini wapo.Nataka niweke hao wanyama nyumbani kwangu kuna mtu akaniambia tausi wapo ikulu na labda wanaopewa ni viongozi wakiomba.Nani anajua wapi nitawapata tausi kuhusu kobe nashangaa wameadimika sana mashambani ila nina imani nikitoa offer atafutwe lazima atapatikana.tausi nampataje na bei zake zipoje wakuu.
Wasilana na maliasili kwaajili ya vibali . Zaidi ya hapo kuna jamaa wa south africa na kenya wana breed hao tausi na wengineo . Watakushauri kuhusu chakula chao nk
Fuga kanga na njiwa.
Hii naiweka statusUsitafute shida acha zije zenyewe
Hizo ni nyala za serikali fuata utaratibu wa kufanya hivyo toka serikaliniNataka niweke hao wanyama nyumbani kwangu kuna mtu akaniambia tausi wapo ikulu na labda wanaopewa ni viongozi wakiomba.Nani anajua wapi nitawapata tausi kuhusu kobe nashangaa wameadimika sana mashambani ila nina imani nikitoa offer atafutwe lazima atapatikana.tausi nampataje na bei zake zipoje wakuu.
Unataka tuuu tulopokeee, hao wote mali ya serikali, nenda wizara ya maliasili ukawaeleze watakupa utaratibuNataka niweke hao wanyama nyumbani kwangu kuna mtu akaniambia tausi wapo ikulu na labda wanaopewa ni viongozi wakiomba.Nani anajua wapi nitawapata tausi kuhusu kobe nashangaa wameadimika sana mashambani ila nina imani nikitoa offer atafutwe lazima atapatikana.tausi nampataje na bei zake zipoje wakuu.
Kanga wana kelele sana, kama yupo mjini atagombana na majiraniFuga kanga na njiwa.