Natamani kufuturu na mmu member

bebii mi hata nikikualika sidhani kama utakuja. Nipo huku "IPONDAMAFULELA".....huwa tunafuturu uji wa mihama na pipi! Kama unaweza njoo.

we kiboko hii ki2 meno lazima yawe ya njano!
 
sasa unacheka tena? acha kuchezea bahati bwana mimi nimetafuta sijapata kitu wewe unafatwa unacheka? kweli penye miti hamna wajenzi

Leo familia yetu tunafuturisha member wote wa MMU, karibu sana!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…