Natamani kuhamia Dodoma

Natamani kuhamia Dodoma

MKARASINGA

Senior Member
Joined
Jun 9, 2018
Posts
135
Reaction score
222
Habari wanajamvi,

Rejea kichwa hapo juu, natamani kuhamia Dodoma kwa ajili ya kujitafuta, mtaji wangu kimaisha ni m4.5 niliwaza kifungua duka la vipodozi dogo kiasi na bodaboda used. Mimi niwe boda wife akae dukani. Je, kwa mnaoijua vizuri Dodoma ntatoboa?
 
Utatoboa tu. Maisha ni kujipanga.

Sema tu kabla ya kuhamia, mtafute mwenyeji wa huko ili akakuzungushe maeneo tofauti tofauti. Na baada ya hapo, uchague sasa sehemu itakayo kufaa kuanzisha biashara na makazi.
 
Utatoboa tu. Maisha ni kujipanga.

Sema tu kabla ya kuhamia, mtafute mwenyeji wa huko ili akakuzungushe maeneo tofauti tofauti. Na baada ya hapo, uchague sasa sehemu itakayo kufaa kuanzisha biashara.

Natanguliza shukrani kaka. Je unapafaham vizuri dodoma
 
Kutoboa au kutokutoboa hakuna anaejua mkuu kwa sababu kesho haijulikani.. Cha msingi kama unataka kuhamia dom tafuta mwenyeji, kama hauna

Tenga hata siku tatu au nne ukazunguke, wenyeji utawakuta huko huko Ila usiseme kuhusu pesa, kuwa tu interested na locals, watakupa info maana wabongo tunanyimana ramani kwa tunaojuana Ila kwa strangers tunafunguka
 
Nashukuru sana ndugu. Tunanyimana sana ramani hii tabia sijui itakufa lini
 
Kawaida japo wabongo baadhi pia hawafadhiliki ndio maana nikalsema wewe kama mgeni ukienda, ahh utapatiwa info na kwa thread yako nimejua kujimix sio shida.
Dodoma mji flani wa kisiasa na gharama za maisha zipo juu kidogo pia Ila bado kuna maduka na boda ikiashiria pesa inatengenezwa.. Kheri uende ukajue mwenyewe mkuu
 
Asante sana, na kuna ka usemi kwamba dodoma hela nguuumu! Kuna ukweli hapo maana umegusia gharama ya maisha. Nitaenda pia ila sio mbaya kupata habari zitakazo saidia toka sehemu tofautitofauti an wewe umekua sehemu moja wapo an unanipa taarifa za muhimu kusema kweli na unakua short and clear napenda hii.
 
Habari wanajamvi,

Rejea kichwa hapo juu, natamani kuhamia Dodoma kwa ajili ya kujitafuta, mtaji wangu kimaisha ni m4.5 niliwaza kifungua duka la vipodozi dogo kiasi na bodaboda used. Mimi niwe boda wife akae dukani. Je, kwa mnaoijua vizuri Dodoma ntatoboa
Huyo wife tutakuchapia
 
Habari wanajamvi,

Rejea kichwa hapo juu, natamani kuhamia Dodoma kwa ajili ya kujitafuta, mtaji wangu kimaisha ni m4.5 niliwaza kifungua duka la vipodozi dogo kiasi na bodaboda used. Mimi niwe boda wife akae dukani. Je, kwa mnaoijua vizuri Dodoma ntatoboa?
Wewe baking huko Ukerewe kuna fursa nyingi ikiwemo uchawi
 
Asante sana, na kuna ka usemi kwamba dodoma hela nguuumu! Kuna ukweli hapo maana umegusia gharama ya maisha. Nitaenda pia ila sio mbaya kupata habari zitakazo saidia toka sehemu tofautitofauti an wewe umekua sehemu moja wapo an unanipa taarifa za muhimu kusema kweli na unakua short and clear napenda hii.
Wengi wanasema hivyo Ila dodoma sijawahi kuishi kiutafutaji kwa hiyo siwezi kuthibitisha lakini naamini hadi umetamani kuhamia dodoma bhasi kuna vitu umeangalia...
Ili kuweza zaidi nenda kaone mwenyewe
 
Back
Top Bottom