Natamani kuhamia Dodoma

Natamani kuhamia Dodoma

Wengi wanasema hivyo Ila dodoma sijawahi kuishi kiutafutaji kwa hiyo siwezi kuthibitisha lakini naamini hadi umetamani kuhamia dodoma bhasi kuna vitu umeangalia...
Ili kuweza zaidi nenda kaone mwenyewe
Mimi niko Dodoma huu ni mwaka wa 27. Dodoma ni mji mzuri sana kuishi na hata bei za viwanja vya kujenga ambavyo vimepimwa ni bei ya chini ukilinganisha na miji mingine.

Kuhusu mzunguko wa fedha kwa sasa ni mzuri maana watu wameongezeka sana. Wewe fika mwenyewe tembea ujionee kisha ufanye uamuzi.

Karibu sana.

Sent from my TECNO BB2 using JamiiForums mobile app
 
Asante sana
 
Habari wanajamvi,

Rejea kichwa hapo juu, natamani kuhamia Dodoma kwa ajili ya kujitafuta, mtaji wangu kimaisha ni m4.5 niliwaza kifungua duka la vipodozi dogo kiasi na bodaboda used. Mimi niwe boda wife akae dukani. Je, kwa mnaoijua vizuri Dodoma ntatoboa?
Hujakosea na hutojuta tena wahi kungali Bado full kuchanganya.
 
Hiyo vipodozi achana na Hilo wazo, bodaboda nunua yenye Hali nzuri kama ni used, usinunue mkweche.
Baada ya muda wife atajua cha kufanya kama utabakinna Hela kama milioni mmoja
 
Mimi niko Dodoma huu ni mwaka wa 27. Dodoma ni mji mzuri sana kuishi na hata bei za viwanja vya kujenga ambavyo vimepimwa ni bei ya chini ukilinganisha na miji mingine.

Kuhusu mzunguko wa fedha kwa sasa ni mzuri maana watu wameongezeka sana. Wewe fika mwenyewe tembea ujionee kisha ufanye uamuzi.

Karibu sana.

Sent from my TECNO BB2 using JamiiForums mobile app
Hongera brother, mimi nilifika dodoma kama miaka 17 iliyopita na hapakunivutia kabisaaa. Ukame, shida ya maji na miundombinu haikuwa mizuri sana ila toka bunge lijengwe, udom na vyo vingine lakini pia serikali iwekeze nguvu, dodoma sio ile ya zamani japo nawaza, kwako miaka 27 ulipakutaje 😁😁

Ila kama ikikupendeza, itakuwa vyema ukimpa jamaa A B C maana ni mgeni kabisaa, hata kama tu umpe lodge ipi afikie bado ni msaada
 
Back
Top Bottom