MKARASINGA
Senior Member
- Jun 9, 2018
- 135
- 222
Utatoboa tu. Maisha ni kujipanga.
Sema tu kabla ya kuhamia, mtafute mwenyeji wa huko ili akakuzungushe maeneo tofauti tofauti. Na baada ya hapo, uchague sasa sehemu itakayo kufaa kuanzisha biashara.
Kutoboa au kutokutoboa hakuna anaejua mkuu kwa sababu kesho haijulikani.. Cha msingi kama unataka kuhamia dom tafuta mwenyeji, kama hauna
Tenga hata siku tatu au nne ukazunguke, wenyeji utawakuta huko huko Ila usiseme kuhusu pesa, kuwa tu interested na locals, watakupa info maana wabongo tunanyimana ramani kwa tunaojuana Ila kwa strangers tunafunguka
Kawaida japo wabongo baadhi pia hawafadhiliki ndio maana nikalsema wewe kama mgeni ukienda, ahh utapatiwa info na kwa thread yako nimejua kujimix sio shida.Nashukuru sana ndugu. Tunanyimana sana ramani hii tabia sijui itakufa lini
Mimi siyo mwenyeji wa huko. Nina yafahamu maeneo machache sana ya huo mji.Natanguliza shukrani kaka. Je unapafaham vizuri dodoma
Kawaida japo wabongo baadhi pia hawafadhiliki ndio maana nikalsema wewe kama mgeni ukienda, ahh utapatiwa info na kwa thread yako nimejua kujimix sio shida.
Dodoma mji flani wa kisiasa na gharama za maisha zipo juu kidogo pia Ila bado kuna maduka na boda ikiashiria pesa inatengenezwa.. Kheri uende ukajue mwenyewe mkuu
Njoo straight Kijiji cha Chamwino. Fungua kiduka...utanishukuru.
Akili za kuambiwa changanya na za kwako. Wewe si umesema una 4.5m?Kiduka cha vipodozi??? Au funua kidogo kiongozi
Huyo wife tutakuchapiaHabari wanajamvi,
Rejea kichwa hapo juu, natamani kuhamia Dodoma kwa ajili ya kujitafuta, mtaji wangu kimaisha ni m4.5 niliwaza kifungua duka la vipodozi dogo kiasi na bodaboda used. Mimi niwe boda wife akae dukani. Je, kwa mnaoijua vizuri Dodoma ntatoboa
Wewe baking huko Ukerewe kuna fursa nyingi ikiwemo uchawiHabari wanajamvi,
Rejea kichwa hapo juu, natamani kuhamia Dodoma kwa ajili ya kujitafuta, mtaji wangu kimaisha ni m4.5 niliwaza kifungua duka la vipodozi dogo kiasi na bodaboda used. Mimi niwe boda wife akae dukani. Je, kwa mnaoijua vizuri Dodoma ntatoboa?
Huyo wife tutakuchapia
Wewe baking huko Ukerewe kuna fursa nyingi ikiwemo uchawi
Akili za kuambiwa changanya na za kwako. Wewe si umesema una 4.5m?
Unataka nikwambie KILA kitu?Si ndio kaka tunaelekezena unipe akili nichanganye na zangu,
Wengi wanasema hivyo Ila dodoma sijawahi kuishi kiutafutaji kwa hiyo siwezi kuthibitisha lakini naamini hadi umetamani kuhamia dodoma bhasi kuna vitu umeangalia...Asante sana, na kuna ka usemi kwamba dodoma hela nguuumu! Kuna ukweli hapo maana umegusia gharama ya maisha. Nitaenda pia ila sio mbaya kupata habari zitakazo saidia toka sehemu tofautitofauti an wewe umekua sehemu moja wapo an unanipa taarifa za muhimu kusema kweli na unakua short and clear napenda hii.
Yaani afanye wenyewe wanaita kwa kiswahili kigumu "upembuzi yakinifu"Utatoboa tu. Maisha ni kujipanga.
Sema tu kabla ya kuhamia, mtafute mwenyeji wa huko ili akakuzungushe maeneo tofauti tofauti. Na baada ya hapo, uchague sasa sehemu itakayo kufaa kuanzisha biashara na makazi.