Salary Slip
Platinum Member
- Apr 3, 2012
- 49,390
- 152,301
Hili ndio jambo nalotamani kuliona kwa sasa ili tuweze ku-balance story na pengine kujua ukweli halisi wa mambo.
Hata hivyo, sitashangaa wakati wote kuanzia sasa barua hiyo ikaanza kusambaa mitandaoni unless barua ya CCM kuhusu Kinana kujiuzulu inasema ukweli.
Binafsi, barua hii ya CCM naiona kama ni whitewash.
Tusubiri.
PIA SOMA
- News Alert: - Abdulrahman Kinana, Makamu Mwenyekiti (CCM) Ajiuzulu, Rais Samia Suluhu Aridhia