Natamani kuionya Young Africans makundi ya CAFCC

Asante mkuu , nakukumbusha tu kuwa Leo ni November 10
Malengo yenu yalikuw kushiriki makundi ya club bingwa afrika huku kwa malosers kama alivyosema aliekuwa semaji lenu wanashiriki simba tu
 
Ni kweli na ndiyo Mana tulimfukuza Nabi
 
Back
Top Bottom