Tate Mkuu JF-Expert Member Joined Jan 24, 2019 Posts 33,092 Reaction score 96,127 Nov 10, 2022 #21 3 Angels message said: Anza kutamani na kocha mpya pia maana trh 9 Nabi hatakuwa kocha wenu Click to expand... Leo ni tarehe 10! Vipi, utabiri wako umetimia? Au ndiyo kusema mkeka umechanika!
3 Angels message said: Anza kutamani na kocha mpya pia maana trh 9 Nabi hatakuwa kocha wenu Click to expand... Leo ni tarehe 10! Vipi, utabiri wako umetimia? Au ndiyo kusema mkeka umechanika!
Tate Mkuu JF-Expert Member Joined Jan 24, 2019 Posts 33,092 Reaction score 96,127 Nov 10, 2022 #22 kinje ketile said: Sisi tulimpenda...Ila Baba Wa Mbinguni Amempenda Zaidi'.... Maana Marehemu Alikuwa Na 'mdomo Sana'... Click to expand... Leo eti na nyinyi mnaipongeza Yanga kwa kupata ushindi ugenini!! 🤔
kinje ketile said: Sisi tulimpenda...Ila Baba Wa Mbinguni Amempenda Zaidi'.... Maana Marehemu Alikuwa Na 'mdomo Sana'... Click to expand... Leo eti na nyinyi mnaipongeza Yanga kwa kupata ushindi ugenini!! 🤔
3ZOV JF-Expert Member Joined Dec 28, 2020 Posts 6,259 Reaction score 7,015 Nov 10, 2022 #23 MombaDier said: Asante mkuu , nakukumbusha tu kuwa Leo ni November 10 Click to expand... Malengo yenu yalikuw kushiriki makundi ya club bingwa afrika huku kwa malosers kama alivyosema aliekuwa semaji lenu wanashiriki simba tu
MombaDier said: Asante mkuu , nakukumbusha tu kuwa Leo ni November 10 Click to expand... Malengo yenu yalikuw kushiriki makundi ya club bingwa afrika huku kwa malosers kama alivyosema aliekuwa semaji lenu wanashiriki simba tu
M MombaDier Senior Member Joined Jul 24, 2022 Posts 123 Reaction score 232 Nov 13, 2022 Thread starter #24 3ZOV said: Malengo yenu yalikuw kushiriki makundi ya club bingwa afrika huku kwa malosers kama alivyosema aliekuwa semaji lenu wanashiriki simba tu Click to expand... Ni kweli na ndiyo Mana tulimfukuza Nabi
3ZOV said: Malengo yenu yalikuw kushiriki makundi ya club bingwa afrika huku kwa malosers kama alivyosema aliekuwa semaji lenu wanashiriki simba tu Click to expand... Ni kweli na ndiyo Mana tulimfukuza Nabi
3ZOV JF-Expert Member Joined Dec 28, 2020 Posts 6,259 Reaction score 7,015 Nov 13, 2022 #25 MombaDier said: Ni kweli na ndiyo Mana tulimfukuza Nabi Click to expand... Makundi ya losers?
M MombaDier Senior Member Joined Jul 24, 2022 Posts 123 Reaction score 232 Nov 15, 2022 Thread starter #26 3ZOV said: Makundi ya losers? Click to expand... Sawa, mfamaji