Natamani kujifunza caterpillar

Natamani kujifunza caterpillar

kokudo

JF-Expert Member
Joined
Oct 26, 2010
Posts
2,571
Reaction score
1,760
Habarini. Natamani kujifunza caterpillar nimeambiwa VETA wanatoa kozi hiyo lakini unatoka hujui kitu chochote. Je wapi naweza kujifunza na ada ni bei gani?
 
Unamaanisha unataka kujifunza kutumia /kuendesha mitambo au machine za ujenzi?
Caterpillar ni jina la biashara. Mitambo ina majina tofauti na kazi zake zinafanana.
Kama uliko kuna kazi za barabara waweza Ongea na hao operators wakuunganishe kazi na waanze kukufundisha kama msaidizi wao

Hii ider nzuri lakini namna ya ufanyaji kazi wake ni mgumu... Boss wake ataruhusu ujifunze Kazi wakati wa kazi inaendelea
 
Itategemea na mazingira ya kazi. Kunakipindi zinafanyika kazi ambazo hazina Madhara na ratiba ya kazi / none critical activities. So anaweza Tumia muda huo kukuachia mtambo.
Mind u kuwa kwenye critical program arakuwa anakufundisha kwa nadharia/ kwa kuona

Back
Top Bottom