Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unataka kuitengeneza?Habarini. Natamani kujifunza caterpillar nimeambiwa VETA wanatoa kozi hiyo lakini unatoka hujui kitu chochote. Je wapi naweza kujifunza na ada ni bei gani?
Habarini. Natamani kujifunza caterpillar nimeambiwa VETA wanatoa kozi hiyo lakini unatoka hujui kitu chochote. Je wapi naweza kujifunza na ada ni bei gani?
Hii ider nzuri lakini namna ya ufanyaji kazi wake ni mgumu... Boss wake ataruhusu ujifunze Kazi wakati wa kazi inaendeleaUnamaanisha unataka kujifunza kutumia /kuendesha mitambo au machine za ujenzi?
Caterpillar ni jina la biashara. Mitambo ina majina tofauti na kazi zake zinafanana.
Kama uliko kuna kazi za barabara waweza Ongea na hao operators wakuunganishe kazi na waanze kukufundisha kama msaidizi wao
Hii ider nzuri lakini namna ya ufanyaji kazi wake ni mgumu... Boss wake ataruhusu ujifunze Kazi wakati wa kazi inaendelea