Natamani kujifunza mengi zaidi kuhusu namna ya kuingiza hela kwa kutumia intaneti

Natamani kujifunza mengi zaidi kuhusu namna ya kuingiza hela kwa kutumia intaneti

Jonh-B

Member
Joined
Jan 25, 2022
Posts
6
Reaction score
6
Habari nduguzanguni,

Kwa hekima nawaombeni mnisaidie kuhusu hili jambo kuwa mitandao na internet kuna fursa za kujipatia pesa na ukaishi kwa kupunguza stress za maisha kwa access ya internet!

Tangu nimesikia kuhusu hili na kukomaa kufatilia youtube chanel tofautitofauti na sehemu nyingine na kujifunza kwa bidii juu ya inshu ya kuingiza hela kirahisi hivyo.

Wengi walionesha baadhi ya site and app za kuingiza hela, nikawa nimezilekodi baadh kama work app, edx, people per hour, guru and fiver and wanaita online networking market lakini kila nikijiunga hakuna sehemu inanitaka niingize ata namba ya sim au any account ambayo itanifanya nitumiwe hela.

JF wadau nafahamu kila mtu anatmbua juu ya hili na pengine wengine mmefanikiwa na kuweza kulipwa kiasi kikubwa na ukaendesha maisha (all human needs)

Na mimi kwa nia dhabiti naomba mnijuze nifanye na wap nakosea na njia iko wapi niweze kufanikisha hili na ni ipi site, app, location nzuri nikiingia tu lazima nipige hela ili kuendesha maisha.

NOTE: Sio tu online networking market bali any idea ambayo pia naweza ingiza hela na elimu tofautitofauti kwenye maisha.
Natanguliza shukrani za dhati kune nyote na mungu awatangulie kutoa ideas nzuri. Amen
 
Learn finance basics ili ujifunze kutrade financial instruments kwa dept au ur own cash hii njia itakufaaa ila lazima ujifunze kwanza.
 
Hakuna hela ya bure mzee,ukitaka kupata hela kirahisi lazima ukubali kupoteza
 
Inawezekana boss Mimi mwenyewe nakunja zaidi ya dola 350$ per month bila hata kufanya kazi ila inahitaji uwe na knowledge kwanza ya hiko kitu
 
Tupe njia basi unafanyaje
Ingekuwa raha Sana Kama Kuna kazi unaweza ielezea kwa mistari miwili kikubwa ni kuwa unahitaji kuwa na uwezo wa kufikiri tofauti Ila hivihiv akili zetu za kukaa vijiweni hutoboi
 
Habari,
Video Subtittling ni moja Soft Skills ambayo inahitajika sana katika majukwaa ya kazi za mtandaoni (Freelancing Platforms), kwa anayehitaji kuanza Skills hii ya video Subtittling nimeandaa training fupi na rahisi Zaidi kuelewa.
images (92).jpeg

Mafunzo utalipia 20,000 TZS pesa ambayo ukiipata Skills hii utaweza kuipata ukifanya video ya lisaa limoja tu Upwork, au kwenye Agency.

Kutokana na Tangazo langu la mwanzo baadhi ya wadau waliomba Training iwe online maana hawatakuwa na muda, nimejaribu kuandaa lessons kupitia Telegramu Group nimejitahidi kuelezea kwa urahisi sana na kwa Kiswahili.

WhatsApp Group
Screenshot_20220608-062937.png

Lesson zipo mbili
1) Kuweka Subtittles kwenye video
2) Kusevu Subtittles kwenye video (Burning)

Nimeelekeza Software Tools ambazo unatakiwa kuwa nazo na jinsi zinavyofanya kazi.

Lesson 01 (Outlines)
*Jinsi ya kuweka video kwenye program
*Jinsi ya kuandika Subtittles
*Jinsi ya kuediti Subtittles (Font & Location)
*Jinsi ya kuseti muda (Start & End time)
*Work concistency

Lesson 02:
Baada ya kutengeneza Subtittle yetu tutaangalia jinsi ya kuiunganish video na Subtittles kwa kutumia Software tool husika.

Training yote nimeshaiandaa kwenye TELEGRAM GROUP mafunzo haya ya Skills hii ya Video Subtittling ni 20,000 Tzs tu ukipitia maelekezo na lessons zote utakuwa na uwezo wa kuweka subtitle kwenye video yeyote Duniani iwe Nyimbo, movie, iwe slow iwe speed.

NI PM FOR IT
 
Kama una intellectual property kama muziki unaweza kupiga hela sana mtandaoni na sio tu kujisajili kisha usubiri hela ije.
 
Nimekamilisha Tutorials zote za Video Subtittling, unaweza lipia ili nikuunge Telegram ujifunze.

Maelekezo ni kwa Kiswahili na kwa maelezo rahisi.
 
Je unahitaji kuwa na PC?

Kama ndio ni ya uwezo upi?

Ili nikishanunua nikucheki!

Back
Top Bottom