Jonh-B
Member
- Jan 25, 2022
- 6
- 6
Habari nduguzanguni,
Kwa hekima nawaombeni mnisaidie kuhusu hili jambo kuwa mitandao na internet kuna fursa za kujipatia pesa na ukaishi kwa kupunguza stress za maisha kwa access ya internet!
Tangu nimesikia kuhusu hili na kukomaa kufatilia youtube chanel tofautitofauti na sehemu nyingine na kujifunza kwa bidii juu ya inshu ya kuingiza hela kirahisi hivyo.
Wengi walionesha baadhi ya site and app za kuingiza hela, nikawa nimezilekodi baadh kama work app, edx, people per hour, guru and fiver and wanaita online networking market lakini kila nikijiunga hakuna sehemu inanitaka niingize ata namba ya sim au any account ambayo itanifanya nitumiwe hela.
JF wadau nafahamu kila mtu anatmbua juu ya hili na pengine wengine mmefanikiwa na kuweza kulipwa kiasi kikubwa na ukaendesha maisha (all human needs)
Na mimi kwa nia dhabiti naomba mnijuze nifanye na wap nakosea na njia iko wapi niweze kufanikisha hili na ni ipi site, app, location nzuri nikiingia tu lazima nipige hela ili kuendesha maisha.
NOTE: Sio tu online networking market bali any idea ambayo pia naweza ingiza hela na elimu tofautitofauti kwenye maisha.
Natanguliza shukrani za dhati kune nyote na mungu awatangulie kutoa ideas nzuri. Amen