Natamani kujiua

Polen
Lakini jiulize duniani ni vitu vingapi watu wavitaka lakini hawavipati? Lkn bado waishi vizuri tu... Watu wamefiwa na wazazi, wamepata ulemavu ukubwani, wamefiwa na wakezao,wamepofuka n.k lakini wanaishi vizuri tu hawakibilii kujiua!
Acha na ujinga huo kwanza acana na limwanaume used tulia tu lazima utapata wako nawewe atakupigia magoti atawaogopa vimada akikuona!
Sasa hivi badili hata namba ya simu!
Then ukitaka kujiua kweli kesho kuna maandamano ya cuf yamepigwa marufuku, wewe hudhuria tenana uwe mbele kabisa shika bango lenye tusi kwa jk wakitaka kukukamata goma, rusha ngumi au hata kofi kwa hao askari...watakusaidia kukuua na kukuepushia dhambi ya kujiua.
Amua!
 
hahaha Kimada kwa kuwa mimi sio kimada wala sina nyumba ndogo napita tu, Byeeeeee
 
Jamaa mbona amekujibu tayari? Njoo na thread nyingine na wewe umjibu, Ila hajasema kama wewe ni mrembo kiasi hicho ulichojisifia
 
jaman kuna people humu hazina ushaur mzur cjui tumwambie jamaa azi burn kwa muda kwan alijua ni mume wa mtu jamaa si katongoza akajidai hana mke sasa mpen ushaur wa maana sio pumba wengine wanazotoa
 

Jivue gamba tu usilazimishe usipo pendeka
 
Alikose kutokukujuza mapema, kwa sasa kaza moyo konde achana nae kwani hata ukiwa mke wa pili utajuta kuzaliwa. Hupaswi kulaumiwa kwa kuwa hukujuwa before kama ameoa.
 



Hii thread imenisikitisha sana, you know, inaonyesha ujinga wetu wanawake!!! sometimes sisi wajinga sana na wanaume most of the times wanacapitalize kwenye huu ujinga wetu. Imagine mtu anatembea na mume wa mtu halafu hajutii anachokifanya anajidefend kana kwamba ana haki. Dada huyu huyu mgoja aolewe mumewe awe na kimada ataenda mpaka kwa mganga wa kienyeji because mkuki kwa nguruwe mtamu.......
We dada wapo wa dada ma mawowo yao wamelost hamna anayewaingiza ndani ya nyumba, my god sasa why umeachwa na hiyo figure 8????unadai umekuwa ukimpagawisha siku zote!!! yeye ndio elikuambia au unaishi kwa assumptions!!! do you think hips ndio kegezo tosha cha kumpagawisha jamaa, we kweli hata hukufundwa unaweza kuwa na hiyo figure 8 kitandani mambo hayaendi bibi wewe, mwanamke kiuno babu we makalio majaliwa, kuna mwana JF kakuambia you are not a wife material, from your action truly you are not!!! that's why pamoja na figure 8 yako bado hujaolewa while kuna wasichana 24s wanaolewa??? from your attitude my dia huwezi pata wako. Halafu unajifanya unamdharau mkewe:A S 101: ha ha ha jamaa amerudi kiotani babu nashangaa mpaka sasa unaendelea kusoma hz thread hujajiuwa bado!!!!!!!! I have a very deadly poison please give me your address nikupostie!!!!
halafu unaomba usitukanwe!!!!!!! why!!!! you deserve it, kutembea na mume wa mtu tegemea chochote from kutukanwa to kuvunjwa miguu, kumwagiwa acid etc. on top of that unawaita wanaume wakatili????? who told you they are!!! yani ujinga wako unadump kwa watu wengine!!!
Nikuambie kitu na hiyo shape yako utakaa nayo unazurura mtaani jamaa wanachovya then wanarudi kiotani hapo ndipo utakapajua ukweli!!
My advice to you msimchezee kabisa huyo mwanamke, mwogope kaa naye mbali umevuna kwenye shamba lake, we jifanye mbabe atakuharibu sura na jamaa ndo umeshampoteza!!!!!!!!!!!!!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…