Natamani kujiua

Natamani kujiua

Mchango mzuri sn huu..wanawake wengne ni wadhaifu sn na wanajiendekeza...sasa huyu na miaka yte hyo bado hajafikiria kuseto tu?unakuwa na mahusiano ambyo hujui yanaelekea wapi..mtu ashakwambia ana mke bado tu upo..na wala hajawahi kukwambia anataka kuongeza mke hushtuki pia..ndivyo wanawake wazuri mnavyojidanganya eti mm mzuri atanioa..wanawake wanaoolewa ni wa kawaida sn...
 
...Nemo kayasema yote nilokuwa nayafikiria kuyasema.
...sababu huenda ni hko kiburi (cha mkewe hakuingii na blah blah nyingine) ...umenibore sana. Hata ingekuwa mimi nisingekubali unitukanie mke wangu..
Mkuu hapo ni KIMADA tu anafanya hivyo je jamaa angeamua kumuoa na kumuweka ndani si angemuua mke wa jamaa kabisa huyu wanawake wa namna hii ni hatari sana, halafu ameniacha hoi anapojisifia kuwa mke wa jamaa haoni kwake kwa uzuri hata kidogo sasa kama ndio hivyo haijulizi kwanini jamaa kamtosa halafu akarudi kwa wife wake pamoja sijui na figure 8 anayosema aliyonayo.
 
Ahaaa ahaaa halafu anataka kukupiga na ngumi dah huyu KIMADA balaa kweli
Kimke kinaonekana kipotabo, maana kasema ngumi moja tu chali? vingine vimekomaa hajui! unapiga ngumi mkono unapinda wenyewe
 
Ahaaa ahaaa Gaga naona atakuwa anatizama kwa sura tu hajajua purukushani za wife wa jamaa zikoje ndio maana ana brag sana
 
Habari zenu wana Jamii Forum. Mimi ni mgeni humu. Ila si mgeni ki hivyo nimekuwa natembelea bila kuwa member. Nimeamua kujiunga ili nipate kushauriwa kwani shida niliyonayo siwezi kushare na mtu ninaye mjua.

Mimi ni mdada wa miaka 32. Ni mrembo sana yaani wale mnaoita 8 figure. Sijisifii ila hilo nimeona nilitamke ili muweze kuielewa vizuri mada yangu.

Nilitokea kumpenda sana kijana mmoja na kuja kugundua baada ya miezi miwili kuwa ni mume wa mtu. Kaka ni muislamu hivyo havai pete na kwa kuwa ni kijana sikuweza kudhania kuwa ni mume wa mtu na kwa kweli ningejua nisinge mpa moyo wangu.

Tatizo niligundua kuwa kaoa wakati nimeshampenda. Na ni yeye mwenyewe alinitamkia kuwa nina mke baada ya kujua sitaweza kumwacha kwani nilikuwa nimekolea.

Tumekaa kwenye uhusiano kwa muda wa mwaka na nusu sasa mpaka pale mkewe alipokuja kugundua. Mimi mkewe nilikuwa nimeshamjua. Ni mdada msomi na ana kazi nzuri sana ila ni wa kawaida na aniingii hata nusu kwa uzuri kwa hiyo nilijua tu kuwa mumewe atakuwa ananipenda mimi zaidi na labda kuna siku nitakuwa mke wa pili kwani ni muislamu.

Tatizo limeanza miezi miwili iliyopita. Jamaa alinipigia simu akanambia mkewe amejua kuwa tuna uhusiano, kwa hiyo mimi na yeye basi kwani hataki kuvunja ndoa yake. Nimeumia sana imagine mwaka na nusu na nimeshampenda sana. Nimejitahidi kumfuata ofisini kwao secretary wake ananambia jamaa kasafiri wakati gari naliona nje ya ofisi. Nimempigia simu simpati naona amebadili namba.

Hivi kweli wanaume mnaweza kuwa wakatili hivi? Kibaya zaidi mkewe kutwa ananipigia simu na kunitisha kuwa atanifukuzisha kazi. Mimi sijali kufukuzwa kazi kwani ninampenda sana huyo mwanaume.

Nishaurini nifanyeje kwa wale wenye uzoefu wa kuwa vimada na wale wenye nyumba ndogo.

Msinitukane jamani. Mimi sijawahi maishani mwangu kutembea na mume wa mtu zaidi ya huyu na sikuwahi kuwaza kuwa yatanikuta. Hivi nyie wanawake wa kwenye ndoa uwa mnawaroga wame zenu? Iweje mtu niliyekuwa nampagawisha the other day leo aseme sitaki kukuona tena kisa tu mkewe kajua?

Na huyu mkewe nimfanyeje aache kunifuata fuata. Maana amekuwa ananipa vitisho kila kukicha mpaka nahofia uhai wangu. Mumewe mwenyewe kesha niacha na yeye bado analeta mikwara wakati nikimwangalia hata ngumi moja namuua.

Kimada nani aliekwambia kuwa mwanaume alieoa,
akiwa na mwanamke nje basi mapenzi ndo yameisha kwa mkewe?

Hapo wapendwa huwa mnajidanganya sana dada zangu,
Kumbuka tu kuwa huyu mume anatafuta temporary relief,
na kikubwa zaidi vile vitamaa vyetu vya kupenda kuonja onja,
ndivyo vinavyotusumbua tu!!

Napenda kuwaasa wanawake wote mlio kwenye ndoa,
jamani msiwe na mapressure mpaka mkatamani kujiua,
waume zenu wanawapenda sana kiukweli,
huko nje wanapunguza mastress tu jamani!!!!!!!
kwaherini!!!!!!
 
Pole sana Kimada kwa mkasa uliokukumba, hapo suala ni kumsahau huyo jamaa. Jichanganye na watu wengine baada ya muda utamsahau!!
 
Pole dada ,mimi nina haya yafuatayo
1-japokuwa ww ni mzuri saaana lakini ujue hiyo sio silaha na wala ndoa nyingi waoaji na wanaaoolewa hawaangalii saana uzuri wa nje kwani inawezekana ni uzuri wa mkakasi nadani ni kipande cha mti na pia sie kwetu huwa kun msemo usemao UTAMU WA CHAI SUKARI
2-Walioolewa wanahaki ya kuchunga ndoa zao na ikiwezekana kuwadhibiti waume zao kimahaba na mapenzi ili wasione wanawake wengine na kuwatamani ndio maana tunajipamba na kuwafanyia mengi mazuri ,kuwasaidia mabo mengi yu ya kimaisha alimradi ndoa inoge na hata kama akitoka nje iwe rahisi kumrudisha ndanii na yy mwenyewe alietoka kuomba msamaha kwa mkewe au mumemw
3-Kama wewe ni muislam unaweza kuolewa mke wa pilp ,watatu ,mpaka wanne ,mradi ufuate taratibu na mlichoukuwa mnafanya ni uzinifu aa allah anakataza uzinifu japo kwa kuukaribia sembuse kufanya? katika quran tunaambiwa ;(msikaribie zinaa kwa hakika huo ni uchafu mkubwa ,sasa nyie mlifanya - mtubu kwa mungu na mumuombe msamaha mkewwe kisha muombe mungu akuongoze utapata mume mwema asie mzinifu kwani hata ww mummeo akizini utaumia,ni bora aoe mke mwingine muishi kwa wema
4- KUJIUA NI DHAMBI KUBWA AMBAYO MUNGU haisamehe na NI UKATILI USIO NA MFANO,
Ina maana wewe wampenda huyo bwana tu duniani hata wazazi wako huwajali wala kuwahurumia, Yeye hana hasara hilo utambue na ataendelea kuvinjari na vimwana vingine wazuri zaidi yako wala hatkkumbuka kwa hiyo usijiathibu kwa kumpenda mtu asiethamini utu wako.utampata mwingine zaidi yake na utamsahau.Ni bora amekuacha kabla hamjafunga ndoa maana ungeumia zaidi ya hapo,fikiria kama ww ungekuwa ndio mkewew alafu mume anazini na mrebo mwingine wewe unalea watoto tena kw mashaka

unachotakiwa kufanya ni kutulia na kuwa na busara ,fanya kazi kwa bidii ,kuwa na tabia njema,dumu katika ibada na mungu atakuongoza
Umri na urembo wako ukichanganya na tabia njema mbona utapata mtu ,wala usikate tamaa ,halafu jiulize UKIENDA KWA MUNGU KABLA HAJAKUITA UTAMWELEZA UMEFUATA NINI .NA AKIKUONYESHA MUMME AMBAYE ANGEKUPA BAADA YA MIEZI MIWILI UTATAMANI KURUDI DUNIANI USIWEZE.Hebu poa mtoto wa kike waume mbona wapo!!!!!!!!!!!!
 
Pole sana Kimada kwa mkasa uliokukumba, hapo suala ni kumsahau huyo jamaa. Jichanganye na watu wengine baada ya muda utamsahau!!
Mkuu habari yako binafsi bana niaje jombaa wewe si haujaoa hebu chukua huyu Kimada bana anahangahika na waume za watu wakati wanaume singo wako hapa lol!!!
 
umeshaambiwa kuwa ni mume wa mtu we bado kiguu na njia mpaka ofisini kwake...ili iweje sasa???????
we tulia utapata wako wa peke yako utulie nae.
halafu jua kuwa uzuri wa sura na umbo sio kila kitu...kuna kujiongeza kule uwanjani na zaidi tabia.
 
Kweli kabisa kaka, wakati sisi tunatafuta wa kuoa hapa JF yeye anang'ang'ania waume za watu...
 
halafu anadai kwanini mke wa jamaa anamfatilia wakati yy ashamuacha...hapo hapo bado anamfata jamaa ofisini kwake. utaisoma namba aise
 
afu baadhi wanasema hakuna wanaume wa kuoa wkt wenyewe wamejiweka kwa waume za watu eti siku hz ndo fasheni.
 
Na mimi nashanga naona anakimbizana na mume wa mtu hadi ofisini kwake Katavi hebu du ze nidful lol!!!

Ahaaaa ahaaaa

Rogi ndio hawa sasa wanaojibana kwa waume za watu ukiwauliza wanakwambia hakuna wanaume wakati yeye kang'ang'ania mume wa mtu
 
umeshaambiwa kuwa ni mume wa mtu we bado kiguu na njia mpaka ofisini kwake...ili iweje sasa???????
we tulia utapata wako wa peke yako utulie nae.
halafu jua kuwa uzuri wa sura na umbo sio kila kitu...kuna kujiongeza kule uwanjani na zaidi tabia.
Yeye anadhani uzuri wa sura ndio tiketi ya kuolewa, labda alikuwa hajitumi??
 
Habari zenu wana Jamii Forum. Mimi ni mgeni humu. Ila si mgeni ki hivyo nimekuwa natembelea bila kuwa member. Nimeamua kujiunga ili nipate kushauriwa kwani shida niliyonayo siwezi kushare na mtu ninaye mjua.

Mimi ni mdada wa miaka 32. Ni mrembo sana yaani wale mnaoita 8 figure. Sijisifii ila hilo nimeona nilitamke ili muweze kuielewa vizuri mada yangu.

Nilitokea kumpenda sana kijana mmoja na kuja kugundua baada ya miezi miwili kuwa ni mume wa mtu. Kaka ni muislamu hivyo havai pete na kwa kuwa ni kijana sikuweza kudhania kuwa ni mume wa mtu na kwa kweli ningejua nisinge mpa moyo wangu.

Tatizo niligundua kuwa kaoa wakati nimeshampenda. Na ni yeye mwenyewe alinitamkia kuwa nina mke baada ya kujua sitaweza kumwacha kwani nilikuwa nimekolea.

Tumekaa kwenye uhusiano kwa muda wa mwaka na nusu sasa mpaka pale mkewe alipokuja kugundua. Mimi mkewe nilikuwa nimeshamjua. Ni mdada msomi na ana kazi nzuri sana ila ni wa kawaida na aniingii hata nusu kwa uzuri kwa hiyo nilijua tu kuwa mumewe atakuwa ananipenda mimi zaidi na labda kuna siku nitakuwa mke wa pili kwani ni muislamu.

Tatizo limeanza miezi miwili iliyopita. Jamaa alinipigia simu akanambia mkewe amejua kuwa tuna uhusiano, kwa hiyo mimi na yeye basi kwani hataki kuvunja ndoa yake. Nimeumia sana imagine mwaka na nusu na nimeshampenda sana. Nimejitahidi kumfuata ofisini kwao secretary wake ananambia jamaa kasafiri wakati gari naliona nje ya ofisi. Nimempigia simu simpati naona amebadili namba.

Hivi kweli wanaume mnaweza kuwa wakatili hivi? Kibaya zaidi mkewe kutwa ananipigia simu na kunitisha kuwa atanifukuzisha kazi. Mimi sijali kufukuzwa kazi kwani ninampenda sana huyo mwanaume.

Nishaurini nifanyeje kwa wale wenye uzoefu wa kuwa vimada na wale wenye nyumba ndogo.

Msinitukane jamani. Mimi sijawahi maishani mwangu kutembea na mume wa mtu zaidi ya huyu na sikuwahi kuwaza kuwa yatanikuta. Hivi nyie wanawake wa kwenye ndoa uwa mnawaroga wame zenu? Iweje mtu niliyekuwa nampagawisha the other day leo aseme sitaki kukuona tena kisa tu mkewe kajua?

Na huyu mkewe nimfanyeje aache kunifuata fuata. Maana amekuwa ananipa vitisho kila kukicha mpaka nahofia uhai wangu. Mumewe mwenyewe kesha niacha na yeye bado analeta mikwara wakati nikimwangalia hata ngumi moja namuua.
Vigezo na mashariti kuzingatiwa..
 
Na mimi nashanga naona anakimbizana na mume wa mtu hadi ofisini kwake Katavi hebu du ze nidful lol!!!

Ahaaaa ahaaaa

Rogi ndio hawa sasa wanaojibana kwa waume za watu ukiwauliza wanakwambia hakuna wanaume wakati yeye kang'ang'ania mume wa mtu
Namvutia pumzi...
 
Back
Top Bottom