Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mmmh!MJ1,
Bora leo umetoka na hii avatar, lol
ile nyingine nilikuwa naigwaya kweli,
lakini moyo ulikuwa mzito kusema!!!
Au kwakuwa KImada ana figure 8,
basi na wewe umeamua kutoka ki hivi......lol..
Congrats..................
Aksante bacha asa kwa nini hukusema kama nlikuwa natisha?
Hahahhaa.......nimemwonea huruma kimada ningemtolea hadi chini aone namba nane za ukweli...........lol
Eti mkewe hamfikii hata kidogo.kuna mtu kamwuliza kinachoolewa ni umbo au mke? Na si ajabu mwenzie kweli alikuwa na nia ya kumwoa (kama mke wa pili) ila ile hali ya kuendelea naye hata pale alipomwambia nina mke si ajabu ilimshtua!! Kaanzajiuliza iweje kama mie mume wa mtu nmekuja nkalaa, ntajuaje kama hatokuja mwenzangu naye akalaa??
Ah kakimbiza bawa.
Afu hajishangai......hiyo namba yake ya simu bi mkubwa kapewa na mumewe amsaidie kufukuza pepo hilo ah!!
Ukiona vyaelea ujue vimeundwa!!
We umeaubiria mwenzio ampendezeshe mumewe ndo uje kumpenda?!Utanashati wake uliokuvutia haujashuka toka mbinguni...kama alikudanganya kwa vijisenti navyo hakuzaliwa navyo!Mwache aliyetoa jasho ale raha zake bila karaha za vibaka wa mapenzi sijui wa waume za watu!!!
Kama hiyo namba nane yake inakuaminisha kwamba inakubalika kiasi cha kukupatia ndoa basi itulize ikubalike na mtu ambae hana mke ili na wewe upate ndoa yako!!
Ila jaribu kujichunguza uone mapungufu yako maan unaonekana we unajiona PERFECT wakati unaonekana SIO!Dharau tu uliyoonyesha kwa dada wa watu inatosha kumkimbiza mwanaume hata kama hana ndoa maana kesho kesho kutwa kakuoa utaanza hata kumdharau mama yake kwamba mchafu..hili na lile kwahiyo anza kwa kujivua gamba la dharau!Next tambua kwamba hiyo namba nane yako ingekua ticket ya ndoa usingegonga miaka 30 bila ya pete kidoleni mwako!Jiulize kwanini mpakableo bado upo upo tu kisha ujitazame kwa makini kutokea ndani kuja nje na sio uangalie gamba tu na kuridhika.Kava la kitabu hata livutie vipi kama kilichoandikwa ndani hakina mvuto hamna atakaehangaika kukisoma.Ndo maana mwenzio unaeona hajakufikia kwa uzuri anaitwa mke na mumewe karudi kwa kasi wakati we umeachwa na mng‘aro wako wa ENGLISH GOLD!Then acha kupenda mteremko...mwenzio kashampendezesha mumewe huko hujui alikuaje mwanzo we unataka kumpokonya tu kirahisi?!Tafuta wako na wewe uhangaike nae akishapendeza nawe ujigambe umepata na umepata kweli!
Hatua za kufuata...
Jivue gamba la dharau!
Badili mtazamo wako kuhusu wanawake wengine.
Heshimu ndoa za watu ili ukifanikiwa kua na yako na wewe uwe na haki ya kuitaka hiyo heshima!
Acha kujidanganya uzuri wa sura ndo kila kitu na kurekebisha tabia yako iwe nzuri zaidi ya sura!
Badili mwelekeo wa maisha yako kwa kukaa mbali na mume wa mwenzio na kutafuta wako!!
Kila la kher!
pole kimada. naomba nikukumbushe tu kua umri ulionao ni jibu tosha kua ndoa haingalii sura wala figure 8. ingekua hivyo sasa hivi ungekua na ndoa ya miaka mitano. wewe ulidhani unampagawisha lakini alijali familia yake zaidi. alilala kwako kwa sababu huenda nyumbani kidogo kulitetereka au alisema kasafiri. hakua tayari kukuona. mwaka na nusu wala sio muda mrefu wa kuona umeonewa kuachwa. wanaachwa watu walioishi miaka zaidi ya 10 tena wote single na maisha yanaendelea, hakuna wa kujiua wala kujinyonga itakua wewe uliyeachwa after 18 months of relationship. shukuru kwanza kua hujapotezewa muda mrefu. tafuta wa kwako kwa sasa ili inshallah ukibahatika upate ndoa japo utoe gundu. mimi nina mume wa mtu, sipendi hivyo lakini kwa umri wangu kupata single si rahisi, mwaka wa 7 huu, heshima kwa kwenda mbele. halali kwangu bila mimi kujua sababu aliyotoa kwake. akikwaruzana na mkwewe, namwambia asije kwangu mpaka tofauti zilizopo kwake ziishe. naamini tunapendana maana tunaelewana sana. tunasaidiana mambo mengi, he's happy, am happy, we make each other happy. ndio wizi ulivyo... pole
Kula tano hapo broken heart!
Hivi kumbe nimeshushua!!?Nlidhani nimemweleza tu!mmh!Lizzy, kama nakuona vile live,unavyomshushua mwenzio na vidole umeviachia hewani lol....

Kama yapi ili na sie tujifunze kama bado..¡⸮Asante KIMADA kwa ujasiri wa kuandika haya yote..na sijui ni nani aliyekwambia ulilete hapa JF!Lakini kutokana na michango ya wanajamvi nimejifunza mengi.. Huenda usingeileta hiii mada nisingeweza kuyajua..