Kijana upiganaji ndani ya nchi hii (TZ) una-limits zake, hivo sikushauri ubebe unnecessary risky...........working environment sio favourable. Mkuu wa takukuru mwenyewe Hosea anamtetemekea Rais ( Ambaye ni Mgombea wa Urais), usije ukategemea hata siku moja maofisa walioko chini yake watafanya kazi kwa uhuru na kwa kufuata misingi ya kazi ( working guidelines while observing professionalism and due diligence).
Ukienda mbali zaidi utagundua ya kwamba Takukuru wanafanya kazi kwa uwazi sana ukifananisha na Tanzania secret services, hii ni hatari kubwa kwa usalama wa muhusika hasa ukizingatia nature ya kazi za Takukuru ni sawa sawa na za usalama wa taifa. Sasa unamu-expose huyu then huyu unamuambia tumia approach ya kujifichaficha.
Hitimisho: Sina maana ya kukuogopesha lakini ukweli ndo huo, Sikushauri ukimbilie moto 🙂A S-fire1🙂. Maamuzi ni yako mwisho wa siku
"Think outside the Box"