jerry joshy
JF-Expert Member
- Jul 8, 2015
- 402
- 504
yaan kati ya vitu natamanigi kujua ni nini ally huwa anadiscuss na jokate about diamond au wanataniana nini kuhusiana na mondi especially wakiwa wanataniaa about mapenzi.......
oooh yule hana lolote ww ndo the best au ,kwanza mondi kakuzid mpaka kitandani yaani i wish coz jokate anamdate hasimu wa ex wake so hapo hapakosi utani flani hivi..........amaizing ambao unakata mood baina yao mpka kususa
N.B NDO AKILI YANGU IMENITUMA KUWAZA HIVI NOW MUDA WA LUNCH....