Natamani kujua Joketi wakiwa na Kiba huwa wanamsema nini Mondi

Labda kwasababu kiba ni mwanaume wa dar anaweza akawaza hivyo unavyo fikiria lakini wanaume mikoani hatuna hayo mambo ya ajabu ajabu.Lakini nimesoma kwa umakini nimeona kama vile wewe ni ile timu ujanja ujanja young dee,By the way sidhani kama kiba anafikra kama za kwako.
 
wanaume wa mkoani si ndo nyi warombo kazi kulewa tu hebu kwena kule
 
Nyie wanaume wa mikoani mna akili za ajabu mno....muda huu ilitakiwa uwe busy unapalilia viazi vyako
 
yaan kati ya vitu natamanigi kujua ni nini ally huwa anadiscuss na jokate about diamond au wanataniana nini kuhusiana na mondi especially wakiwa wanataniaa about mapenzi.......oooh yule hana lolote ww ndo the best au ,kwanza mondi kakuzid mpaka kitandani yaani i wish coz jokate anamdate hasimu wa ex wake so hapo hapakosi utani flani hivi..........amaizing ambao unakata mood baina yao mpka kususa
N.B NDO AKILI YANGU IMENITUMA KUWAZA HIVI NOW MUDA WA LUNCH....
kiba huwa anapenda sanaa kumuulizaaa kwani Mondi ana dudu kubwaa ao ulikuwa umesha mpaa tigo mara ngapii ao nikweli umetowa mimba zake 2.
 
yaan kati ya vitu natamanigi kujua ni nini ally huwa anadiscuss na jokate about diamond au wanataniana nini kuhusiana na mondi especially wakiwa wanataniaa about mapenzi.......oooh yule hana lolote ww ndo the best au ,kwanza mondi kakuzid mpaka kitandani yaani i wish coz jokate anamdate hasimu wa ex wake so hapo hapakosi utani flani hivi..........amaizing ambao unakata mood baina yao mpka kususa
N.B NDO AKILI YANGU IMENITUMA KUWAZA HIVI NOW MUDA WA LUNCH....
Mtoto kama Jokate unakaa nae chumbani halafu unaanza kuongea umbe wewe utakuwa mwanaume wa mapambo
 
Me nimekwambia ukweli uache tabia za kike..hayo mambo ni ya madada otherwise "you are one ov em"
Mbona unampigiaaa mbuzi gitaaa fata mkiaa sepaa mwanaume huwa abishani sasa nakushangaa uanaume wako unanziaa wap
 
Back
Top Bottom