jerry joshy
JF-Expert Member
- Jul 8, 2015
- 402
- 504
mbona , dharau mama ,kwa sie wa 2007ndo nyie form three 2007.....!!!
Ww ni tim SHILAWADU nn,maana na ww umelianzish ijumaa.yaan kati ya vitu natamanigi kujua ni nini ally huwa anadiscuss na jokate about diamond au wanataniana nini kuhusiana na mondi especially wakiwa wanataniaa about mapenzi.......oooh yule hana lolote ww ndo the best au ,kwanza mondi kakuzid mpaka kitandani yaani i wish coz jokate anamdate hasimu wa ex wake so hapo hapakosi utani flani hivi..........amaizing ambao unakata mood baina yao mpka kususa
N.B NDO AKILI YANGU IMENITUMA KUWAZA HIVI NOW MUDA WA LUNCH....
huyo ni mtoto kama wewe ndo maana naye kaja kwenye jukwaa hilimbona , dharau mama ,kwa sie wa 2007