Vitu vingi sana hii nchi sio halali na vinafanyika kama vile utekaji ufisadi na mauaji ya halaikiMambo Vipi Ndugu zanguni
Natamani Kujua Kuhusu Michango ya Mahafali ,je Ni Halali kwa wahitimu Kulazimishwa kutoa Michango ya mahafali na Kuwaambia kuwa wasipo toa basi litakuwa deni ambalo Litadaiwa?
Mishahara midogo. Walimu wanatafuta namna ya kupata cha ziada. Kuna huo upuuzi wa mahafali na study tours, na maujinga mengine wanayopenyezea kupitia vikao vya wazazi. Cha muhimu ni kuwaelewa na kuwavumilia mpaka mwanao akimaliza shule, unawapotezea na kuangalia mbele.Mambo Vipi Ndugu zanguni
Natamani Kujua Kuhusu Michango ya Mahafali ,je Ni Halali kwa wahitimu Kulazimishwa kutoa Michango ya mahafali na Kuwaambia kuwa wasipo toa basi litakuwa deni ambalo Litadaiwa?