Natamani kujua maisha ya marehemu Al Habib Alhaji Aziz Massanga (Zingizi)

Natamani kujua maisha ya marehemu Al Habib Alhaji Aziz Massanga (Zingizi)

Mbona mnaficha biashara yake ile iliyompa utajiri?

Wabongo kwa unafiki
ALikuwa anauza Vipodozi enzi za Sauli S.H AMON 😀 😀 😀 😀 😀 pigia mistari...Hata Sauli naye alitajirika kwa vipodozi 😎😎😎😎😎😎.
 
Mkuu embu funguka ni biashara gani isiyo halali ilitomtajirisha?
Na huo u monster wake ni upi.
Kiukweli hata mimi hii ya vipodozi mpaka kujengewa watu nyumba na kulipa mshahara haijaniingia akilini.
Mbona humu tunamjadiligi Kanyau na yeye amejenga msikiti ana lisha mayatima mtu wa watu lakini huwa tunaongelea biashara yake ya Ngada.
Nitashangaa kweli kuliliwa na magomeni yote na kariakoo isiwe biashara ya unga.
Ok simfahamu
 
ALikuwa anauza Vipodozi enzi za Sauli S.H AMON 😀 😀 😀 😀 😀 pigia mistari...Hata Sauli naye alitajirika kwa vipodozi 😎😎😎😎😎😎.
wengi hawajui hata bei za bidhaa za S.H Amon .
 
Mkuu nimeandika kidogo tu ninayoyafahamu
Wadau wake wamenishambulia kama mpira wa kona

Wewe ni mtu mzima Mkuu jiongeze

Kumsema vibaya humu kutawafanya wanaosali kwenye msikiti aliojenga wajisikie vibaya

Acha yapite
Mkuu embu funguka ni biashara gani isiyo halali ilitomtajirisha?
Na huo u monster wake ni upi.
Kiukweli hata mimi hii ya vipodozi mpaka kujengewa watu nyumba na kulipa mshahara haijaniingia akilini.
Mbona humu tunamjadiligi Kanyau na yeye amejenga msikiti ana lisha mayatima mtu wa watu lakini huwa tunaongelea biashara yake ya Ngada.
Nitashangaa kweli kuliliwa na magomeni yote na kariakoo isiwe biashara ya unga.
 
S. H alikuwa anacheza sana na b--, Enzi hzo
Kuvukish mzg bla klp wamepig sn....
Wkt huo wanatoa vpdz tk zim
Sema alikujaga kpata deal moja na wamarekan filn wlikuw wnamp vpodz apo akapg sna hela
Jama Ana Mali zisizo Hamishik nying
Na mabiashara... Mtu mpk kujenga gorof kko lile si mchz

Ova
Sema vipodozi feki na kundi lao kama vile walielezana hawana shobo na media kabisa
 
Mwamba kitambo tangia akiwa na mgahawa wake mpk Kuja kutoboa.... Huyu mtoto wa msasani

Ova

Nimeishi kama mpangaji kwenye nyumba yao Msasani, karibu na Capetown Fish Market wakati huo ikijulikana kama Irish Pub.

Hawakuwahi kupangisha mtu wa dini ya Kikristo isipokua mimi na nilikua mpangaji wa mwisho kwenye ile nyumba. Niliishi nao vizuri tukawa kama ndugu tukaelewana nao sana. Aliwajali sana familia na ndugu zake. Hakua mtu wa maneno mengi, mkimya sana. Mara ya mwisho kuonana nae ilikua kwenye msiba wa mdogo wao aliyeuwawa na wezi akiwa anafunga duka lake.

Mama yao Bi top yuko magomeni na ndipo msiba ulipokua. Msiba huu ni pigo kwa famia. Nyumba zao za Msasani ni yeye alikua akizuia zisiuzwe. Aliamua kuwaweka wajomba na ndugu zao wengine pale.
Moja iko barabarani kabisa na nyingine karibu na msikiti wa Msasani kwa wavua samaki.

Mengine ntanyamaza ila kwa hayo machache alikua mtu wa watu sana. mrangi nimekuelewa sana. Pia kwenye msiba wa mdogo wake Zingizi (Haroun) nilishangaa kukutana na Jimmy CM kitu kilichofanya nianze kujiuliza maswali kuhusu fununu kwamba marehem alikua wale ndugu zetu.

Kuhusu biashara zake kuna mengi sana yalikua yanasemwa lakini kwa vike haikua ikinihusu, sikuwahi kufuatilia wala kutaka kujua ukweli wake.
 
Salaam wana jf

Natumaini wote ni wazima wa afya na poleni na majukumu ya hapa na pale. Kama kichwa cha habari kinavyojieleza sina budi kurudia rudia.

Mnamo 29/11/2019 huko south Africa ila jina la hospital silijui kuna mtanzania mfanyabishara mkubwa na mwanazuoni kwa jina la Alhabib alhaj Aziz Massanga alias ZINGIZI aliaga dunia,lakini akuwa maarufu kama wengine wakiwa na ukwasi.

Sikuwa namjua ila mnamo tarehe 2/12/2019 pita pita zangu mitaa ya magomeni nilionana umati wa watu wakijipanga kupeleka mwili wa MAREHEM katika makaburini ya msasani,sikuishia hapo niliingia kwenye akaunti ya Instagram ya msemaji wa simba nikaona CLIP ya umati wa watu wakilia si waarabu, si waafrika walikuwa wakilia uku wakisindikiza mwili makaburi.

Mwenye kujua maisha ya MAREHEM AL HABIB Alhaj Massanga alias ZINGIZI(mzaramo aliyeliliwa hadi na waarabu, waafrika, wahindi ni nani huyu?

Mwenyezi amuweke mahali pema peponi Mwamba ZINGIZI.

Born:1973

Died:2019

Innallihai wainallillah rajiun
Allah amjaalie pepo mwamba zingizi my role model nilianza kumjua huyu 2010 alikuwa akidhamini mawlid pale masjid muzdalfa ni balozi mzuri Sana wa mtume Muhammad swalallah alaih wasalam.alikuwa akiwalipa maimamu na masheikh na si mtu wa media km wafanyavyo watu wa kidunia wengine ndio maana hujasikia media yeyote ikitangaza kifo chake lakini habar zake zimetapakaa dunia nzima
 
Ni Kweli jamaa alikuwa muislam sana
Jamaa namjua Enzi hzo Nakumbuka alikuwa na mgahawa kinondoni na yeye alikuwa anauza
Nikaja mkuta wakati fulani border ya zim na South afrika nlimkuta akionekana mtu ambaye yuko njema..... Wakati huo sisi tulikuwa tunaleta magari kutoka dizonga Kuja dar.....
Jamaa akaniambia nmtafute Kuna mchongo Kweli nkamtafuta ndy akanipa line moja ya kununua maziwa toka Zimbabwe ya super milk
Wakati huo zim uchumi uko vzr...... Nakumbuka mtaji aliniboost
Khsu hyo minongono watu wanasema ila kwa uzoefu wangu na kufaham watu wengi waliyofanikiwa maisha Yana siri sana
Usione mtu kafanikiwa
Ila tu jamaa alikuwa peace sana na syo mchoyo wa kutoa connection alikuwa anapenda sana
Kuona mtu unatusua
Mm na yeye shida ilikuwa mm ni mtu wa masangaa sana hapo ndy palikuwa na shuguli

Ova
Nimeishi kama mpangaji kwenye nyumba yao Msasani, karibu na Capetown Fish Market wakati huo ikijulikana kama Irish Pub.

Hawakuwahi kupangisha mtu wa dini ya Kikristo isipokua mimi na nilikua mpangaji wa mwisho kwenye ile nyumba. Niliishi nao vizuri tukawa kama ndugu tukaelewana nao sana. Aliwajali sana familia na ndugu zake. Hakua mtu wa maneno mengi, mkimya sana. Mara ya mwisho kuonana nae ilikua kwenye msiba wa mdogo wao aliyeuwawa na wezi akiwa anafunga duka lake.

Mama yao Bi top yuko magomeni na ndipo msiba ulipokua. Msiba huu ni pigo kwa famia. Nyumba zao za Msasani ni yeye alikua akizuia zisiuzwe. Aliamua kuwaweka wajomba na ndugu zao wengine pale.
Moja iko barabarani kabisa na nyingine karibu na msikiti wa Msasani kwa wavua samaki.

Mengine ntanyamaza ila kwa hayo machache alikua mtu wa watu sana. mrangi nimekuelewa sana. Pia kwenye msiba wa mdogo wake Zingizi (Haroun) nilishangaa kukutana na Jimmy CM kitu kilichofanya nianze kujiuliza maswali kuhusu fununu kwamba marehem alikua wale ndugu zetu.

Kuhusu biashara zake kuna mengi sana yalikua yanasemwa lakini kwa vike haikua ikinihusu, sikuwahi kufuatilia wala kutaka kujua ukweli wake.
 
Ni Kweli jamaa alikuwa muislam sana
Jamaa namjua Enzi hzo Nakumbuka alikuwa na mgahawa kinondoni na yeye alikuwa anauza
Nikaja mkuta wakati fulani border ya zim na South afrika nlimkuta akionekana mtu ambaye yuko njema..... Wakati huo sisi tulikuwa tunaleta magari kutoka dizonga Kuja dar.....
Jamaa akaniambia nmtafute Kuna mchongo Kweli nkamtafuta ndy akanipa line moja ya kununua maziwa toka Zimbabwe ya super milk
Wakati huo zim uchumi uko vzr...... Nakumbuka mtaji aliniboost
Khsu hyo minongono watu wanasema ila kwa uzoefu wangu na kufaham watu wengi waliyofanikiwa maisha Yana siri sana
Usione mtu kafanikiwa
Ila tu jamaa alikuwa peace sana na syo mchoyo wa kutoa connection alikuwa anapenda sana
Kuona mtu unatusua
Mm na yeye shida ilikuwa mm ni mtu wa masangaa sana hapo ndy palikuwa na shuguli

Ova

Kweli we baharia. Kofia nimekuvulia. Nimekuelewa sana mkuu.
 
Raynavero atalipwa kwa matendo mazuri?
Je mabaya?

Watanzania tuache unafiki huku tunajua ukweli

Unafiki haufai, kila mtu apewe sifa anazostahili

Huyo mtu mnavyompamba hadi malaika wanakasirika
Katika uislam kuna kutubu baasi ukitubu unasehemewa na Allah s.w
Maovu yako hayahesabiwi na uache chuki we kaka mweee!!

Roho mbaya tuu!!!sijui hata alikukosea nini!!!unajifanya huelewi kitu hebu muache apumzike yaani we pekee ndo unamsema vibaya hujioni we ndo mtata!!
 
Yaani anaumia mnooo!sijui alitaka asifie yeye na unaafiki wake yaani ktk watu wote huyu pekee na roho yake ndo anamsema vibaya vibaya loooh!!yaani
basi tuonyeshe mabaya yake tuyajue , kumbuka hakuna asiye na mapungufu kama binaadamu kama alitenda mema kwanin yasizungumzwe alaf mbona unaumia hivi, kwema?
 
Mimi sio mtata Mkuu wala sina chuki yeyote

Ila ukweli usemwe, huyo ni binadamu wa kawaida km sisi

Sasa mnapoficha yale mabaya yake mnakusudia nini?

Hata kama unaswalia msikiti wake, jua tu mwamba alikuwa monster

Na wala sio vipodozi
Katika uislam kuna kutubu baasi ukitubu unasehemewa na Allah s.w
Maovu yako hayahesabiwi na uache chuki we kaka mweee!!

Roho mbaya tuu!!!sijui hata alikukosea nini!!!unajifanya huelewi kitu hebu muache apumzike yaani we pekee ndo unamsema vibaya hujioni we ndo mtata!!
 
Alikua tajiri asie na makuu Mwenye kuheshimu kupenda kujali na kuthamini mayatima na wahitaji

Aliwahi mjengea Nyumba jirani wa mama yake magomeni baada ya Nyumba kuungua alipofika na kuambiwa akasikitika kesho yake akaja na mafundi kwa suprise akamjengea Nyumba mpya na akannua na fenicha mpyaaaa.

Ya Pili aliwannulia Nyumba maimamu na masheikh akawa amewaweka msasani na mikocheni wakawa wanaishi na anawalipa kwa mishahara wakawa wanaishi good life

Wanalia wanawaza nani atasimamia shoo zote kirahisi hvyooo!!!wameumbuka mnoooo!!
Mimi binafsi namuombea Allah s.w ampe kitabu kwa mkono wa kulia
Huu ndio uislam sasa..ambao hata mpagani akielezwa anasema hakika fulani alikuwa mwema.

sio jitu linajiita muislamakini limejazwa na chuki kwa wengine kisa sio waislam au hana msaada wowote ule kwa jamii aliyotoka
 
Allah amjaalie pepo mwamba zingizi my role model nilianza kumjua huyu 2010 alikuwa akidhamini mawlid pale masjid muzdalfa ni balozi mzuri Sana wa mtume Muhammad swalallah alaih wasalam.alikuwa akiwalipa maimamu na masheikh na si mtu wa media km wafanyavyo watu wa kidunia wengine ndio maana hujasikia media yeyote ikitangaza kifo chake lakini habar zake zimetapakaa dunia nzima
Ameen

Nasikia hiyo masjid alianza kujenga kuanzia msingi(foundation) ilikuwa ghorofa mbili akaongeza ghorofa moja ikawa ghorofa tatu ila kuna maofisi za masheikh ndani yake. Na aka import mazrui takribani ya milion 300 kutoka SOUTH AFRICA.

Nimepanga mambo yake alikuwa anafanya kwa ajili ya dini imekuwa inspired kwangu. Allah aweke roho yake mahali pema peponi alhaj ZINGIZI
 
Back
Top Bottom