Natamani kujua sana hii kitu

Kutongozwa siyo dhambi bwana ni raha pia au mpaka upige swaga uzungushwe ndo uamini unapendwa hapana mkuu ukitongozwa tena furahi afu kubali usikatae utapenswa we mpaka bas

Mi ninampango wa kumtokea Evelyn Salt sijui atakubali?
 
Mie siku zote huwa ndo natongoza maana sijawahi kutongozwa
 
Mimi sijawahi, nadhani sihitaji hyo kitu kwasababu kukataa itakuwa ngumu.

Niko kwenye crisis ya mapenzi sasa hivi, atakae kaa mbele yangu naweza kuoa.
 
Alinitokea nkiwa chuo mwaka wa 4 yeye akiwa kidato cha 4.Nilimwona mdogo nkadhani anatania ukizingatia ilkua Mara ya kwanza kuonana.Baada ya miaka miwili tulifunga ndoa na niliamua kumsomesha mwenyewe.Mwezi wa 7 anamaliza chuo na tuna mtoto 1 wa kiume.Nampenda sana.
 
Mm sijawahi kutongozwa lkn nimeona mara kadhaa nikionyeshwa hisia kuwa napendwa,response yangu huwa nzuri hata kama sitaki kuwa na mahusiano na huyo mtu
 
Daaah mimi huwa naogopa kwamba atanichukuliaje? Na kama nikimwambia akanikataa c atanitangaza?? Ntakuwa namtazamaje usoni?
 
Naomba nikutongoze!
Mimi sijawahi, nadhani sihitaji hyo kitu kwasababu kukataa itakuwa ngumu.

Niko kwenye crisis ya mapenzi sasa hivi, atakae kaa mbele yangu naweza kuoa.
 
Nilishawahi kutongozwa na mke wa mpangaji mwenzangu chumba jirani tu nikamgegeda nikahama na nyumba!
 
Ondoa ukimya mdada mwambie tu au kama vip fanya juu chini upate namba ya cm then unaanza kwa ku sms na kumtaja jina mfano" john habari za asubuhi nikutakie kazi njema" anza hivyo kwanza hala utayaona maendeleo na usisite kurudisha jibu.
 
Mi mwanamke akinitongoza nahs huyo ndo atakuwa na upendo wa kweli kwangu, nitampenda mpaka basi.
Ila asitoke JF
 
Mi mwanamke akinitongoza nahs huyo ndo atakuwa na upendo wa kweli kwangu, nitampenda mpaka basi.
Ila asitoke JF

Hahahaaaa.... Umenichekesha hapo uliposema ila asitoke JF. !!
 
Sio siri kutongozwa na mwanamke raha sana...
 

Hahha!haya ni majanga haya.mtoto wa kike unajikuta.yahitaji moyo sana.tena ukitoswa ndio duuh!!
 
i have been a victim on several occasions and i used to find it scary..
ila nimekuja kugundua kwamba ni kitu cha kawaida sana. for how long are you going to die deep inside?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…