Natamani kujua sana hii kitu

Natamani kujua sana hii kitu

Kutongozwa siyo dhambi bwana ni raha pia au mpaka upige swaga uzungushwe ndo uamini unapendwa hapana mkuu ukitongozwa tena furahi afu kubali usikatae utapenswa we mpaka bas

Mi ninampango wa kumtokea Evelyn Salt sijui atakubali?
 
Mie siku zote huwa ndo natongoza maana sijawahi kutongozwa
 
Mimi sijawahi, nadhani sihitaji hyo kitu kwasababu kukataa itakuwa ngumu.

Niko kwenye crisis ya mapenzi sasa hivi, atakae kaa mbele yangu naweza kuoa.
 
Alinitokea nkiwa chuo mwaka wa 4 yeye akiwa kidato cha 4.Nilimwona mdogo nkadhani anatania ukizingatia ilkua Mara ya kwanza kuonana.Baada ya miaka miwili tulifunga ndoa na niliamua kumsomesha mwenyewe.Mwezi wa 7 anamaliza chuo na tuna mtoto 1 wa kiume.Nampenda sana.
 
Mm sijawahi kutongozwa lkn nimeona mara kadhaa nikionyeshwa hisia kuwa napendwa,response yangu huwa nzuri hata kama sitaki kuwa na mahusiano na huyo mtu
 
Daaah mimi huwa naogopa kwamba atanichukuliaje? Na kama nikimwambia akanikataa c atanitangaza?? Ntakuwa namtazamaje usoni?
 
Naomba nikutongoze!
Mimi sijawahi, nadhani sihitaji hyo kitu kwasababu kukataa itakuwa ngumu.

Niko kwenye crisis ya mapenzi sasa hivi, atakae kaa mbele yangu naweza kuoa.
 
Nilishawahi kutongozwa na mke wa mpangaji mwenzangu chumba jirani tu nikamgegeda nikahama na nyumba!
 
Habari wapendwa, imekuwa ni kawaida na ndio naona ni kama style ya sasa kina dada kutongoza wanaume najiuli hivi ni wadada wangapi waliotongoza wanaume na wakafanikiwa kimapenzi.na wakaolewa na hao wanaume mpaka leo mapenzi yao yapo strong hata kama jf wapo embu njooni mtupe uzoefu wenzenu ambao hatujawai kufanya hivyo labda ni kwa ushamba au sio utamaduni karibuni MMU .
Ondoa ukimya mdada mwambie tu au kama vip fanya juu chini upate namba ya cm then unaanza kwa ku sms na kumtaja jina mfano" john habari za asubuhi nikutakie kazi njema" anza hivyo kwanza hala utayaona maendeleo na usisite kurudisha jibu.
 
Mi mwanamke akinitongoza nahs huyo ndo atakuwa na upendo wa kweli kwangu, nitampenda mpaka basi.
Ila asitoke JF
 
Mi mwanamke akinitongoza nahs huyo ndo atakuwa na upendo wa kweli kwangu, nitampenda mpaka basi.
Ila asitoke JF

Hahahaaaa.... Umenichekesha hapo uliposema ila asitoke JF. !!
 
Sio siri kutongozwa na mwanamke raha sana...
 
Jamani hebu mwageni mauhondo vizuri....kwa hiyo mwanaume wakati wa mtongozo huwa anasugua vidole au? manake unaweza kuuvamia uso wa mbuzi unakukata jicho mpaka unasahau maneno....lol.
Halafu kuhusu majibu vipi? Na wao wana zile swaga za "nipe muda nikafikirie" au wanakubali hapo hapo?
Halafu mechi ya ufunguzi nani huwa anatoa mwaliko?
Hebu mwageni madata jamaniii.....!

Hahha!haya ni majanga haya.mtoto wa kike unajikuta.yahitaji moyo sana.tena ukitoswa ndio duuh!!
 
i have been a victim on several occasions and i used to find it scary..
ila nimekuja kugundua kwamba ni kitu cha kawaida sana. for how long are you going to die deep inside?
 
Back
Top Bottom