Natamani kujua sana hii kitu

Natamani kujua sana hii kitu

i have been a victim on several occasions and i used to find it scary..
ila nimekuja kugundua kwamba ni kitu cha kawaida sana. for how long are you going to die deep inside?

Kwa hiyo ukitongozwa unakubali hapo hapo au unamzungusha kidogo?
 
Jamani hebu mwageni mauhondo vizuri....kwa hiyo mwanaume wakati wa mtongozo huwa anasugua vidole au? manake unaweza kuuvamia uso wa mbuzi unakukata jicho mpaka unasahau maneno....lol.
Halafu kuhusu majibu vipi? Na wao wana zile swaga za "nipe muda nikafikirie" au wanakubali hapo hapo?
Halafu mechi ya ufunguzi nani huwa anatoa mwaliko?
Hebu mwageni madata jamaniii.....!

hahha mepende usongo wako wa kutaka kujua mambo... mwenyew mate yantoka nataka kujua kwa hamu
 
Jamani hebu mwageni mauhondo vizuri....kwa hiyo mwanaume wakati wa mtongozo huwa anasugua vidole au? manake unaweza kuuvamia uso wa mbuzi unakukata jicho mpaka unasahau maneno....lol.
Halafu kuhusu majibu vipi? Na wao wana zile swaga za "nipe muda nikafikirie" au wanakubali hapo hapo?
Halafu mechi ya ufunguzi nani huwa anatoa mwaliko?
Hebu mwageni madata jamaniii.....!

hahahah mependa usongo wako wa kutaka kujua hii mambo, mwenyewe nasubiriaje uhondooooo...
 
Back
Top Bottom