Natamani kujua ushawishi wa kanisa katoliki katika utawala na usalama wa dunia

Natamani kujua ushawishi wa kanisa katoliki katika utawala na usalama wa dunia

Umenielewa lakini nilivyosema au umekrupuka tuuu? Narudia hv haya mambo huwezi ukayaelewa kwa mtazamo wa nje wa haraka haraka....yana siri nzito...nguvu ya papa haitegemei wingi wa waumini wake sehemu husika...yeye popote pale akienda hupokelewa kama mfalme..na uchaguzi wa papa ndo wenye nguvu kupita uchaguzi wowote duniani......!! Usitegemee kuwa anapewa nguvu na nchi maskini kama tz...mataifa makubwa yanampa nguvu kurudisha level aliyopoteza zaman...na USA ndo mpango mzima...nchi zingine ni kuhakikisha tu raisi mkatoliki ndo anatawala
Conspiracy theories
 
Back
Top Bottom